Urusi kuanzisha safari za moja kwa moja Moscow - Tanzania ✈️

Waje watalii kutoka Russia kwa wingi, maana ni mojawapo ya mataifa yaliyokuwa yanaleta wengi wakati wa COVID 2021, sekta ya utalii imechangiwa pakubwa na watalii toka Russia, Ukraine n.k

Russian beach invasion in Zanzibar 2021


View: https://m.youtube.com/watch?v=9GygPWbUpK0Tourism is booming in Zanzibar again, and it's mostly thanks to Eastern Europe. Russians and Ukranians have been pouring into Zanzibar by the truckloads recently, and the Zanzibaris are rushing to learn Russian. I traveled to Kendwa and Nungwi in the north to see what was up
Source : sabbatical
 
Watalii toka Russia hawana lawama nyingi kuhusu miundo-mbinu yetu sekta ya watalii lakini kuna haja ya sekta yetu kuzidi kuboresha huduma ili kuvutia wengi kwa kufanya mafuriko ya matangazo kwa lugha za English, Russian, Ukrainian, Arabic, Spanish., Mandarin n.k katika chaneli ya Safari Channel ya Tanzania badala ya kujikita zaidi ktk lugha ya kiswahili kwa sana ..

Russian invasion in Tanzania 2021

View: https://m.youtube.com/watch?v=NOGHLNHc51sI took a flight across Tanzania with the relatively unknown Flightlink Airlines of Tanzania on a 30 year old Embraer 120, which left me wondering - how is this plane still flying
Source : Noel Phillips
 
Cheki wenzetu wanavyo promote na mlima wetu Kilimanjaro kwa lugha kubwa ya kigeni. Tusibweteke wala kupiga kelele bali nasi tujiunge kupromote Kitulo, Lushoto Kilimanjaro, Mafia, Kilwa, Bagamoyo n.k kwa dokumentari zetu kwa lugha za kigeni za kimataifa

Episode 1 Road Trip Around Mt Kilimanjaro (Kenya And Tanzania) |​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ALdGLLterCw
In this episode, we will be going to Mt Kilimanjaro. Mount Kilimanjaro is a dormant volcano in Tanzania. With three volcanic cones — Kibo, Mawenzi, and Shira — it is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain above sea level in the world: 5,895 m above sea level and 4,900 m above its plateau base
 
Urusi saivi anatapatapa ana haha kila kona kurekebisha uchumi wake vikwazo kila kukicha vinazidi kumkabilia taaban nafsi yake, hizo nchi anazounganza nazo hazina mpango wowote kichumi ataangukia kuramba ramba tu, soko la ulaya amelikosa
 
Anyone who will be boarding the Russian planes will be flying on the "Flying Coffins" owing to the Russian outdated aviation technology so you will be surely boarding at your own risk.
 
Hizi safari ni kwa ajili ya kuleta vodka au ndio wanaleta zile hela za Dr.Shika?
 
Urusi ni mshosalisti mwenzetu kitambo tangu enzi za BABA wa Taifa.

Kwakifupi washosalisti wenzetu ni.
1. Urusi.
2. China
3. Cuba
4. Korea
n.k

hao ni washosalisiti wenzetu kitambo.
Usoshalisti ulishakufa kifo cha mende, capitalism ndio njia ya kwenda.
 
Nahitaji ticket 5 na familia yangu mwisho wa mwaka nikapumzike Moscow wiki 2 wakati wa kurudi nitapitia Tehran kuchukua vyombo vya nyumbani na mazulia wanauza bei rahisi sana halafu viwango.
 
Hii ndio Diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia inavyofanya kazi.
 
Hizo safari mbona zitadoda sana, nani ana mpango wa kusafiri kwenda kwa wachovu Russia na uende kutafuta nini huko wakati watu wenyewe wanajua eti waafrika ni manyani tu. Bure kabisa the racist Russians.
Kawambie marekani nao waanzishe maana naona roho inakuuma sana.
 
USA-kenya, sisi-Russia. Baada ya miaka kazaa tutasikia wameanzisha base zao, na after that vita ya 3 tutapigana na hao jiran zetu kuwapambania hawa watu weupe kama enzi zile tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…