Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ukienda Warusi watakuoaLinchi lenyewe ni masikini wa kutupwa halafu kuna baridi + ubaguzi wa rangi.
Hata nipewe ticket ya bure siendi.
Wewe ulishaolewa ama unatafuta bwana kama mwenzako The IcebreakerWe ukienda Warusi watakuoa
Hongera zakoMimi nilishawahi kukwea hadi KLM.
Asante Mkuu.Hongera zako
Putin ni kichwa sanaMwamba Putin.......sasa nawajua watemi halisi wa hii dunia.
Wakubwa zako 90% wamesoma huko we kenua kenua na madaktari wakutosha wamesomewa huko, jeshini 60% ya silaha ni za huko we neng'eneka kisa umekatwa GOVI Kwa msaada wa watu wa marekaniHizo safari mbona zitadoda sana, nani ana mpango wa kusafiri kwenda kwa wachovu Russia na uende kutafuta nini huko wakati watu wenyewe wanajua eti waafrika ni manyani tu. Bure kabisa the racist Russians.
Mwambie huyu, inaonekana ni mtoto wa juzi tu.Wakubwa zako 90% wamesoma huko we kenua kenua na madaktari wakutosha wamesomewa huko, jeshini 60% ya silaha ni za huko we neng'eneka kisa umekatwa GOVI Kwa msaada wa watu wa marekani
Ni fursa tutawauzia vipuriNdege wanazo? Ndege zao hazina vipuli na wamepigwa vikwazo
Andishi lako limekaa ki-madrassa sana, inaonekana hauna elimu dunia.Wakubwa zako 90% wamesoma huko we kenua kenua na madaktari wakutosha wamesomewa huko, jeshini 60% ya silaha ni za huko we neng'eneka kisa umekatwa GOVI Kwa msaada wa watu wa marekani
Umri wako ni mdogo sana ni kizazi cha wavaa PAMPAS siyo kosa lako na huenda umeathiriwa na misaada ya US ikiwamo kukatwa GOVI kupitia BILL & MELINDA GATES FOUNDATIONAndishi lako limekaa ki-madrassa sana, inaonekana hauna elimu dunia.
Andishi lako limekaa ki-madrassa sana, inaonekana hauna elimu dunia
Urusi saivi anatapatapa ana haha kila kona kurekebisha uchumi wake vikwazo kila kukicha vinazidi kumkabilia taaban nafsi yake, hizo nchi anazounganza nazo hazina mpango wowote kichumi ataangukia kuramba ramba tu, soko la ulaya amelikosa
Madaktari akina rip Dr. Shika mojawapo ya products za russia hizo....Wakubwa zako 90% wamesoma huko we kenua kenua na madaktari wakutosha wamesomewa huko, jeshini 60% ya silaha ni za huko we neng'eneka kisa umekatwa GOVI Kwa msaada wa watu wa marekani
Russia rafiki zao wakubwa waarab ndo USA ya waarab hiyo.Tatizo baadhi ya nchi za ulaya hutuona Watanzania kama waarabu hivi au Waislam na hushindwa kutofautisha kiswahili na kiarabu. Hapo mbona ametuweka kwenye kundi la waarabu/ Waislam?
Nina uhakika asilimia mia moja kwamba wakati nashikishwa sikio kwenda kuanza darasa la kwanza, baba yako alikuwa hajazaliwa.Umri wako ni mdogo sana ni kizazi cha wavaa PAMPAS siyo kosa lako na huenda umeathiriwa na misaada ya US ikiwamo kukatwa GOVI kupitia BILL & MELINDA GATES FOUNDATION
Lengo lao wanataka vijana wa Tanzania waende Russia, wakifika huko wanalazimishwa kupigana Ukraine kwa sababu Wanajeshi wa Russia wamekufa mnoRussia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia
[emoji3575] This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania, Kuwait, Indonesia and Saudi Arabia - Ministry of Transport.
---
In a move aimed at enhancing bilateral ties, Russia has announced plans to introduce direct flights to Tanzania. This initiative signifies a significant step towards bolstering relations between the two nations.
Tanzania’s Ambassador to Russia, Fredrick Ibrahim Kibuta, disclosed that an agreement is already being put in place to this effect. The ambassador hopes that this air route will boost tourism for the Russian people in the East African nation.
“We are in the final stages of signing an agreement of mutual understanding and cooperation between our airlines in order to organize direct flights from Russia to Tanzania, even from St. Petersburg, there will be direct flights,” Tanzania’s Ambassador to Russia stated.
The ambassador revealed hopes to increase Tanzanian tourism for the Russian people, given that Russians have begun taking a liking to traveling to the East African country.
The decision to establish direct air connectivity between Russia and Tanzania comes as part of a broader effort to deepen cooperation and foster closer diplomatic relations. This strategic move is expected to facilitate increased trade, tourism, and people-to-people exchanges between the two countries.
The launch of direct flights is anticipated to not only promote economic growth but also strengthen cultural and diplomatic bonds. It is viewed as a positive development that will further solidify the longstanding relationship between Russia and Tanzania.
This initiative is set to provide greater accessibility and convenience for travelers, businesses, and diplomats, thereby paving the way for enhanced collaboration and mutual understanding. The direct air route is poised to play a pivotal role in advancing cooperation and engagement across various sectors, benefiting both nations economically and diplomatically.
Vitasimulia nini hasa?Vizazi vitasimuliwa sana kuhusu huyu mwamba katika vitabu vya historia.