jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
We ni ndorobo tu wa mbuga za kataviNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
kupata hakuna kudogoNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Tulia dawa ikuingie wa Ukraine wenyewe wanalia wewe unasema haina faida kwa UrusiNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Ukraine ni nchi ndogo?elimu elimu elimuHata muda huamini kuwa Urusi imechukua miezi mitatu kuteka mji mmoja tu wa nchi ndogo.kama Ukraine?
Taifa linaloitwa kubwa kivita la Russia linatumia miezi mitatu kuteka mji mmoja.Pana mtu ana nguvu hapo?
Kumbukuka Russia wamevamiwa nchi ya watuTatizo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanajificha na silaha kwenye majengo ya raia,shule,hospitali na viwanda! Sasa majeshi ya Russia hayakuwa na namna zaidi ya kushambulia majengo.Angali mwenyewe jinsi walivyokuwa wanachomolewa kwenye kiwanda cha Azov steel industry.
Kwenye kiwanda hicho ndiko wanajeshi wa Ukraine walikokuwa wanashikilila raia wasitoke.
Hata muda huamini kuwa Urusi imechukua miezi mitatu kuteka mji mmoja tu wa nchi ndogo.kama Ukraine?
Taifa linaloitwa kubwa kivita la Russia linatumia miezi mitatu kuteka mji mmoja.Pana mtu ana nguvu hapo?
Sasa hiyo ni akili ya kutumia Raia kama kinga yako harafu unataka kifanyikeje? Yaani umejificha kwenye majumba ya watu na silaha unataka wakuache ushambulie watu?Kumbukuka Russia wamevamiwa nchi ya watu
Ukivamia nyumbani kwangu mfano wewe jambazi huwezi nipangia nijifiche wapi nyumbani kwangu .Naweza jificha chumba cha watoto au popote
Kuvamia Ukraine halafu unataka utoe maelekezo Askari wa Ukraine ajifiche wapi nyumbani kwake sio sahihi
Ni haki yao kama raia halali wa Ukraine kujificha popote wanaposhambuliwa
Kumbukuka wao ndio wanaoshambuliwa wao wala hawakuanzisha vita wala hata kurusha jiwe hata moja Urusi
Hiyo kitu mrusi itaigharimi Kushambulia maeneo ya raia hata kama wanajeshi walijificha mle wale wako kwao kwenye nchi waweza jificha popote kichakani au popote .Wako nyumbani kwao
Putin lazima afikishwe mahakama ya uhalifu wa kivita na maruhuni magenerali wake kama watakuwa hai
Ni kweli kamanda, mpaka sasa hakuna mwanajeshi yoyote wa Ukraine aliyekufa, ni wa urusi tu. Ukraine amechukua majimbo manne ya urusi. Putin aliungia cha kike, slava ukraine!Ya kuteka mji mmoja kwa miezi mitatu?Askari wa Russia wakiwa hawaalikwi wakijisadia haja ndogo na kubwa kwenye kombat zao sababu vidume vya Ukraine vinafanya kweli
Lakini Ukraine haina udogo huo unavyosema ni nchi ya pili kwa ukubwa kama sikosei bara la ulaya.Kulinganisha na Urusi vipi wanalingana?
Uzuri vifaa vyote hivyo anatengeza mwenyewe. Wakati vita inaendelea anazalisha vingingine kama wale mafundi wa Madrili pale Gerezani Kariakoo. Silaha zake hanjnui nje ya RussiaGharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayo
Urusi imepoteza wanajeshi 26,350
Vifaru 1,187
Magari 2,856 ya kivita
Mifumo 528 ya kivita
Mifumo 185 ya kurushia roketi
Mifumo minane ya ulinzi wa anga
Ndege 199
Helikopta 160
Ndege 290 zisizo na rubani
Makombora 94 ya meli
Meli 12 au boti
Magari 1,997 na malori
Vitengo 41 maalum vya vifaa
Kufikia mji wa pili Urusi itakuwa hoi bin taabani
Hakuna wale wanajeshi wa Ukraine wako kwao waweza kaa popoteSasa hiyo ni akili ya kutumia Raia kama kinga yako harafu unataka kifanyikeje? Yaani umejificha kwenye majumba ya watu na silaha unataka wakuache ushambulie watu?
Zelensiky ndiye anapaswa kuwajibika kwa kusababisha hasara ya mali ya nchi yake kwa kutokubaliana na jirani yake Russia ambayo ilimpa muda kufikia muafaka lakini akakataa!
Sheria za kimaraifa wewe umezijulia wapi?Unajua kikao kilw Cha Geneva walikubaliana wakati wa vita ni marufuku kutumia civilians as human shield?Hakuna wale wanajeshi wa Ukraine wako kwao waweza kaa popote
Sheria za kimataifa hazizuii mwanajeshi akiwa nchini Kwake kua akae wapi hawezi pangiwa na nchi yeyote duniani wala UN
Ni haki yake kama Raia
Utakuwa unashabikia ccmNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Akili yako na nabii Tito hazitofautianiKwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Kwa taarifa, West walishaelekea kujimilikisha UN, kinachotibua ni ile kura ya Veto!Ww nawe .... kweli, UN ni nchi za magharibi. Hv shuleni mlienda kujifunza nn
Ungekuwa karibu ningekuzaba kibao kwa kuongea upupu huoNchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za kibandari za kibiashara