Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
We ni ndorobo tu wa mbuga za katavi
Nyamaza huna ujualo
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
kupata hakuna kudogo
 
Tulia dawa ikuingie wa Ukraine wenyewe wanalia wewe unasema haina faida kwa Urusi
 
Hata muda huamini kuwa Urusi imechukua miezi mitatu kuteka mji mmoja tu wa nchi ndogo.kama Ukraine?

Taifa linaloitwa kubwa kivita la Russia linatumia miezi mitatu kuteka mji mmoja.Pana mtu ana nguvu hapo?
Ukraine ni nchi ndogo?elimu elimu elimu
 
Tatizo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanajificha na silaha kwenye majengo ya raia,shule,hospitali na viwanda! Sasa majeshi ya Russia hayakuwa na namna zaidi ya kushambulia majengo.Angali mwenyewe jinsi walivyokuwa wanachomolewa kwenye kiwanda cha Azov steel industry.
Kwenye kiwanda hicho ndiko wanajeshi wa Ukraine walikokuwa wanashikilila raia wasitoke.
Kumbukuka Russia wamevamiwa nchi ya watu
Ukivamia nyumbani kwangu mfano wewe jambazi huwezi nipangia nijifiche wapi nyumbani kwangu .Naweza jificha chumba cha watoto au popote

Kuvamia Ukraine halafu unataka utoe maelekezo Askari wa Ukraine ajifiche wapi nyumbani kwake sio sahihi

Ni haki yao kama raia halali wa Ukraine kujificha popote wanaposhambuliwa

Kumbukuka wao ndio wanaoshambuliwa wao wala hawakuanzisha vita wala hata kurusha jiwe hata moja Urusi

Hiyo kitu mrusi itaigharimi Kushambulia maeneo ya raia hata kama wanajeshi walijificha mle wale wako kwao kwenye nchi waweza jificha popote kichakani au popote .Wako nyumbani kwao

Putin lazima afikishwe mahakama ya uhalifu wa kivita na maruhuni magenerali wake kama watakuwa hai
 
Hata muda huamini kuwa Urusi imechukua miezi mitatu kuteka mji mmoja tu wa nchi ndogo.kama Ukraine?

Taifa linaloitwa kubwa kivita la Russia linatumia miezi mitatu kuteka mji mmoja.Pana mtu ana nguvu hapo?

Kumbukuka Russia wamevamiwa nchi ya watu
Ukivamia nyumbani kwangu mfano wewe jambazi huwezi nipangia nijifiche wapi nyumbani kwangu .Naweza jificha chumba cha watoto au popote

Kuvamia Ukraine halafu unataka utoe maelekezo Askari wa Ukraine ajifiche wapi nyumbani kwake sio sahihi

Ni haki yao kama raia halali wa Ukraine kujificha popote wanaposhambuliwa

Kumbukuka wao ndio wanaoshambuliwa wao wala hawakuanzisha vita wala hata kurusha jiwe hata moja Urusi

Hiyo kitu mrusi itaigharimi Kushambulia maeneo ya raia hata kama wanajeshi walijificha mle wale wako kwao kwenye nchi waweza jificha popote kichakani au popote .Wako nyumbani kwao

Putin lazima afikishwe mahakama ya uhalifu wa kivita na maruhuni magenerali wake kama watakuwa hai
Sasa hiyo ni akili ya kutumia Raia kama kinga yako harafu unataka kifanyikeje? Yaani umejificha kwenye majumba ya watu na silaha unataka wakuache ushambulie watu?
Zelensiky ndiye anapaswa kuwajibika kwa kusababisha hasara ya mali ya nchi yake kwa kutokubaliana na jirani yake Russia ambayo ilimpa muda kufikia muafaka lakini akakataa!
 
Ahaa kumbe ameshikilia bandari? Si mlisema hakuna kitu ambacho Russia amefanikiwa mpaka sasa? Kwa taarifa yako millions of tones za grain zimekwama na njia rahisi na kubwa ni kupitia meli, sasa hizo meli zinapita barabarani?

Ni lazima tuseme ukweli, na urusi kasema, vikwazo viondoke na yeye atafikiria juu ya hilo la grains na bandari.
 
Ya kuteka mji mmoja kwa miezi mitatu?Askari wa Russia wakiwa hawaalikwi wakijisadia haja ndogo na kubwa kwenye kombat zao sababu vidume vya Ukraine vinafanya kweli
Ni kweli kamanda, mpaka sasa hakuna mwanajeshi yoyote wa Ukraine aliyekufa, ni wa urusi tu. Ukraine amechukua majimbo manne ya urusi. Putin aliungia cha kike, slava ukraine!
 
Gharama za Kuteka mji mmoja tu wa Mariupol mrusi kutumia miezi mitatu na hasara kwake ni kama ifuatayo

Urusi imepoteza wanajeshi 26,350

Vifaru 1,187

Magari 2,856 ya kivita

Mifumo 528 ya kivita

Mifumo 185 ya kurushia roketi

Mifumo minane ya ulinzi wa anga

Ndege 199

Helikopta 160

Ndege 290 zisizo na rubani

Makombora 94 ya meli

Meli 12 au boti

Magari 1,997 na malori

Vitengo 41 maalum vya vifaa

Kufikia mji wa pili Urusi itakuwa hoi bin taabani
Uzuri vifaa vyote hivyo anatengeza mwenyewe. Wakati vita inaendelea anazalisha vingingine kama wale mafundi wa Madrili pale Gerezani Kariakoo. Silaha zake hanjnui nje ya Russia
 
Sasa hiyo ni akili ya kutumia Raia kama kinga yako harafu unataka kifanyikeje? Yaani umejificha kwenye majumba ya watu na silaha unataka wakuache ushambulie watu?
Zelensiky ndiye anapaswa kuwajibika kwa kusababisha hasara ya mali ya nchi yake kwa kutokubaliana na jirani yake Russia ambayo ilimpa muda kufikia muafaka lakini akakataa!
Hakuna wale wanajeshi wa Ukraine wako kwao waweza kaa popote

Sheria za kimataifa hazizuii mwanajeshi akiwa nchini Kwake kua akae wapi hawezi pangiwa na nchi yeyote duniani wala UN

Ni haki yake kama Raia
 
Sheria za kimaraifa wewe umezijulia wapi?Unajua kikao kilw Cha Geneva walikubaliana wakati wa vita ni marufuku kutumia civilians as human shield?
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Utakuwa unashabikia ccm
 
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Akili yako na nabii Tito hazitofautiani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Ungekuwa karibu ningekuzaba kibao kwa kuongea upupu huo
 
Back
Top Bottom