Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

Kutoka kamasi ni kawaida kwa mwanaume anapopambana siyo upande wa mashoga.
Urusi anatolewa kamasi it's obvious. ...lakini yeye anawatoa damu Ukraine na mashoga zake 30...
Labda kama una lingine.

Amekwenda kutoa wafungwa wakapigane, kakusanya mpaka walevi mtaani, ameomba msaada hadi Syria, Iran mpaka hata kwa Kim hii yote kisa kainchi kadogo Ukraine.
 
Nchi yoyote ya NATO imchokoze badi tuone nani mwanaume.
Urusi siyo Marekani, Urusi anaingia anapochokozwa tu au watu wake wanapoumizwa..

kachokozwa mara ngapi hadi kashikwa kidevu kila siku anatoa matamko na kuchora red lines, alianza kwa kusema atakayeisadia Ukraine kwa silaha ajiandae vita...
 
Unaitwaje huo muungano? na unahusisha nchi ngapi?
Usije ukawa unazungumza mambo ya 1980 kweusi.
Usishabikie kitu usichokijua, hii siyo movie ya Rambo.


KWA USHAURI TU: USIJIWEKE KWAMBA WEWE NDIO UNAJUA KILA KITU ACHA NAFASI YA KUJIELIMISHA
KAMA LUGHA HAIPANDI TUMIA GOOGLE TRANS ITASAIDIA KIDGGO AU OMBA WADAU.

KWA KUKUMBUSHA TU MWAKA HUU HUU URUSI ILIPELEKA MAJESHIYAKE KAZAHSTAN KWA KUFUATA MUUNGANO HUO.



Collective Security Treaty Organization​


The Collective Security Treaty Organization (CSTO)[3] is an intergovernmental military alliance in Eurasia consisting of six post-Soviet states: Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, and Tajikistan. The Collective Security Treaty has its origins in the Soviet Armed Forces, which was replaced in 1992 by the United Armed Forces of the Commonwealth of Independent States, and was then itself replaced by the successor armed forces of the respective independent states.

Similar to Article 5 of the North Atlantic Treaty and the Inter-American Treaty of Reciprocal Assistance, Article 4 of the Collective Security Treaty (CST) establishes that an aggression against one signatory would be perceived as an aggression against all. The CSTO charter reaffirmed the desire of all participating states to abstain from the use or threat of force. Signatories are prohibited from joining other military alliances.[4]
 
wakati huo huo Finland ikasema itakuwa tayari kuruhusu Marekani kuweka Makombora yake ya Nyuklia kule Finland.
Taarifa za kijasusi zinaeleza kuwa Putin amekamilisha maandalizi ya matumizi ya NUKE ndiyo maana ya push ya Fin na Swed kuharakisha mchakato wa kuingia NATO
 
Hata Digidigi akijiingiza kwenye Target hushambuliwa na Simba zaidi ya 10 Hadi kifo na kufanywa kitoweo. Hiyo haimaanishi kwamba Simba mmoja atamshindwa Digidigi mmoja Bali Ni katika Kuonesha Ni jinsi gani Simba wanaweza kushirikiana hata kwa Jambo Dogo.
Tuonane Bambalaga anagalau tuanzie hapo kwa hii wkend ya mwanzo wa mwezi na kuelekea mwisho wa mwaka
 
Hata Digidigi akijiingiza kwenye Target hushambuliwa na Simba zaidi ya 10 Hadi kifo na kufanywa kitoweo. Hiyo haimaanishi kwamba Simba mmoja atamshindwa Digidigi mmoja Bali Ni katika Kuonesha Ni jinsi gani Simba wanaweza kushirikiana hata kwa Jambo Dogo.
Simba mmoja hawezi mkamata digidigi,sababu Simba mzito na hawezi kimbia Masafa marefu
 
kachokozwa mara ngapi hadi kashikwa kidevu kila siku anatoa matamko na kuchora red lines, alianza kwa kusema atakayeisadia Ukraine kwa silaha ajiandae vita...
Ni kama matamko ya Us kwa N korea. Kwan maamuz ya kuvamia Ukraine Si ni baada ya matamko ama?

Wazungu wanafanya vitu kwa umakini mzee, hawakurupuki tu
 
Ni kama matamko ya Us kwa N korea. Kwan maamuz ya kuvamia Ukraine Si ni baada ya matamko ama?

Wazungu wanafanya vitu kwa umakini mzee, hawakurupuki tu

Maamuzi ya kuvamia Ukraine yalikua ya kukurupuka, Urusi sio kama wazungu, kwenye akili zao wao ni kama Waarab, yaani wanajutia sana hayo maamuzi.
 
Kwa hiyo zitafikia nchi 32 dhaifu kijeshi zimeungana ili kupambana na mwanaume mmoja akichukia?
Ndiyo maana mpuuzi mmoja akisema Urusi ni dhaifu au nchi ya kawaida namtoa maanani.
Urusi ndiye Super power wa ukweli na ndiyo maana nchi dhaifu myingi zinaamua kushirikiana kujilinda dhidi yake.
Mkuu lakini leo hujaamkia yale mambo mambo yetu?

Super power ya Urusi iko wapi, operation ya Ukraine sasa miezi 7 imembidi aazime silaha kutoka kwa jirani, miezi 7 hana jeshi anaajiri vijana wa umri wa miaka 18 kwenda machinjioni, lakini wafungwa pia kawaajiri vitani ili wafutiwe kesi zao, sasa jana nimesoma taarifa Mrusi amepiga hodi North Korea apewe silaha, mwaka 1 haujaisha ana hali hii kweli super power huyu ataweza kudumu kwenye vita miaka 2?

Aliivamia Kyiv kwa mbwembwe za hali ya juu na kutaka jeshi ya Ukraine lijisalimishe lakini ajabu aliuchomoa faster na kurudi zake donbas ambako nako ana hali ngumu sana.

Vita ya ardhini super power wako imemshinda sasa anakaa black sea na kupiga long range missiles Kyiv kuangusha nyumba za raia na miundo mbinu ya umeme ivi kweli malengo ya putini ni haya muda huu??

Kama Ukraine tu hali nii ya Russia je kama Nato wangeingia fully vitani leo si tungekuwa na nchi ya vumbi na mafuriko kule Russia?
 
Hongereni sana Urusi kwa kuogopwa
Nalog off Z
Russia walisema Finland na Sweden ikijiunga NATO atashambulia kitovu cha ulaya kwa nuclear lakini sasa mambo ndo hayo jamaa wanaenda zao NATO mrusi wa gongo la mboto hana la kufanya, anatia huruma putin kila anachokitolea warning watu wanakivunja halafu hana la kufanya
 
Wamechoka kulala vitandani wanataka kulala kwenye mahandaki
NATO ndio mbabe wa dunia hii, putini alionya sana hawa jamaa wasijaribu kupeleka ombi la kujiunga na NATO atawafanya majivu lakini lazima tufike mahali Russia amenywea kwa kauli zake uwezo mdogo sana wa kurespond
 
NATO inakufa taratibu,Putin akili kubwa.
He wewe vipi, nchi zinazidi kujiunga NATO kuongeza idadi, Nchi 1 yoyote mwanachama wa NATO kwa Russia jinsi ilivyo dhaifu basi inaweza kupambana na Russia si kwambii umoja wa NATO. Zelensky mukimuita mchekeshaji lakini angalia anavyopiga mzigo na Russia mavi kitambaani mpaka mrusi amelazimika kukodi silaha kutoka Iran na North Korea
 
Usipotoshe,Ukraine anaanza na kuomba kujiunga EU kwanza
“We are taking our decisive step by signing Ukraine’s application for accelerated accession to NATO,” Zelenskyy said on Friday.
 

Attachments

  • Screenshot_20221104-145018_Chrome.jpg
    Screenshot_20221104-145018_Chrome.jpg
    222.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom