MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
I hope hata Ukraine wanajutia ubishi wao
Wao wako kwao, kwanza hii ndio fursa imejitokeza ya kujitenga na Urusi, hata vitaifa vingine vyote ambavyo huwa kama kwenye gereza la Urusi vinasubiria kuona matokeo, ndio maana Urusi alijaribu sana kutumia nguvu nyingi maana anajua hivi vita vinamuweka pabaya sana kimuonekano, hata China wanajifanya uswahiba naye ila wanachekelea pembeni.