I hope hata Ukraine wanajutia ubishi wao
Akili huna, Russia ni kubwa mara nne na zaidi kuizidi ulaya yote...Kwa hiyo zitafikia nchi 32 dhaifu kijeshi zimeungana ili kupambana na mwanaume mmoja akichukia?
Ndiyo maana mpuuzi mmoja akisema Urusi ni dhaifu au nchi ya kawaida namtoa maanani.
Urusi ndiye Super power wa ukweli na ndiyo maana nchi dhaifu myingi zinaamua kushirikiana kujilinda dhidi yake.
Umetoa kichwani kwako hii…Wao wako kwao, kwanza hii ndio fursa imejitokeza ya kujitenga na Urusi, hata vitaifa vingine vyote ambavyo huwa kama kwenye gereza la Urusi vinasubiria kuona matokeo, ndio maana Urusi alijaribu sana kutumia nguvu nyingi maana anajua hivi vita vinamuweka pabaya sana kimuonekano, hata China wanajifanya uswahiba naye ila wanachekelea pembeni.
Umetoa kichwani kwako hii…
Western Hegemony pia inaweza kulala chini baada ya hii vita ndo powers wa east wana support Russia
Akili hana babaako, unajibu jibu kama tahira.Akili huna, Russia ni kubwa mara nne na zaidi kuizidi ulaya yote...
Haya Rwanda, Burundi, Lesotho, Swaziland zikiungana zaweza kuikaribia TZ?
Russia surface area take sio masihara
Ukitoa Russia hiyo ulaya iliyobaki unajua ni ndogo kiasi gani?Akili hana babaako, unajibu jibu kama tahira.
Bafo inabaki nchi dhaifu 32 zimejiunga kupambana na Urusi. Ukubwa wa eneo haufanyi nchi iwe powerful au dhaifu tumia ubongo vjzuri.