eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya jinsi ya kushiriana. Hususan maandalizi na ugavi wa silaha za kutumia ndege zisizotumia rubani (drones) aina ya Kamikaze. Hii linafuatia baada ya Kamikaze kuonesha mafanikio makubwa sana katika kufikia malengo na shabaha ya kivita.