Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 667
- 1,582
TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani
Molotov-Ribbentrop Pact 1939
Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali kabisa Soviet akavamia Finland.
Akinogewa ndipo akatafuta kupata mkataba wa kuwa mwanachama wa Axis Power, lakini Hitler alikuwa na malengo zaidi wakamnyamazia
Pengine hilo ndio kosa lililoifanya Soviet kulipa gharama kubwa kuanzia kiuchumi mpaka population ya watu wake
Inakadiliwa Soviet ilipoteza watu zaidi ya milioni 27
Ndio kinachoisumbua Urusi Leo Anaposema Multipolar World au Sphere of influence ni kujaribu kugawana Ulimwengu mezani akiamini yeye bado ni Soviet Union, na wakati huo wengi wenzake wa Warsaw Pact wakiwa kinyume chake na hata kushirikiana na adui zake (USA, UK, France) kumkabili na dhana yake ya Multipolar World lakini nyuma yake ni Imperialism.