Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

Usitegemee hii VITA WARUSI kushindwa.labda wamalize silaha zote mpaka za NUCLEAR.usalama wao ni kitu muhimu sana kwao
Soma historia chief. Walivyoingia afghanistan walisema hivyo hivyo marekan kawatengeneza wale wavaa vipedo mrusi alihenyeshwa mpaka akakubali yaishe akajiondokea na ndio kinachotokea hapo ukreini. Unawekewa vikwazo halafu huku watoto wa mjin wanatumia hela zako kumpa ukrein silaha mpaka ufilisike. Na asili ya vita hali ikiwa Mbaya wanajesh wanakugeuka.
 
Ivi unaelewa vizuri kiswahili.hii vita uwezi fananisha na vita vya AFGHANISTAN.kule hana ndugu wala hayupo hatarini kusogelewa na adui zake.yani yupo tayari kuondoka SYRIA ila sio UKRAINE.MAREKANI kwenyewe kakimbia AFGHANISTAN kwa sababu anapata hasara tu pasipo maana yoyote ile
 
Nazidi kuamini habar za US kuwa Russia kapoteza askari zaidi ya 80,000.
 
Usicheze na wavaa vipedo, si bora mrusi alishindwa kwasababu alikuwa peke yake. Je hao NATO wakiongozwa na babalao USA?? Zaidi ya nchi 30 zimekula nduki
 
Hiv

Hii vita sio rahisi kwa Russia kama unavyofikiria chief. Urusi ilipigana na wachechen wakanyoosha mikono mapema tena wale jamaa walikuwa wanapigana na kesho tu. Hapo Georgia waliwapa kichapo hata mwez haukuisha nakuchukua jimbo napo walikuwa wanapigana na jeshi. Hapo wanapigana na wananchi pamojana jeshi mzee wakipata sapot ya westerners. Urusi sio ya kuipiga ukrein miez mzee ilikuwa ishu ya wiki 3 mzigo umeisha ngoma imekuwa ngumu maana wananchi wamekuwa wazalendo kama waafghan na ndicho imeifanya vita ngumu
 
Wewe jamaa nafikili utakuwa na MAKENGEZA
 
Usicheze na wavaa vipedo, si bora mrusi alishindwa kwasababu alikuwa peke yake. Je hao NATO wakiongozwa na babalao USA?? Zaidi ya nchi 30 zimekula nduki
Afghan ingekuwa na mafuta mzungu asingewaachia chief pale ni hasara kwake
 
Hapa ndo ulipo ugumu wa kazi za jeshi, unaweza tamani kuwa Mwalimu ghafra
 
Lazima Urusi tujiweke tayari.
Ni mpumbavu pekee tu ndiye ataweza kupeleka jeshi vitani bila kufanya bulk recruiting
 
Hakuna jipya hapo anachofanya ni kureplenish jeshi lililochakazwa huko Ukraine
 
baada ya mwezi wote wameliwa tena vichwa maamae zao wacha wakajijeruhi wenyewe nao ili waondoshwe vitani., urusi imefeli sana
 
Sasa ndio waanze kutumika 2023, mbona Kama wewe ndio huna akili[emoji3]
 
Undugu wa kulazimisha uliuona wapi wewe mmatumbi??
 
Majimbo yote ya kusini kuna watu wa asili ya URUSI.majimbo yote ya kusini UKRAINE kuyalinda itakuwa ngumu maana viongozi mpaka wamanchi wao wanashirikiana na WARUSI.ila majimbo mengine kama KIEV au BUCHA ni ngumu URUSI kuyakalia hata kama atayachukua yana asilimia kubwa kurudi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…