Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

... hivi kwanini asipeleke kikosi cha makomandoo wachache wakamaliza vita badala ya kuteketeza raia wake hivyo?

Hao 137,000 wanaoajiriwa leo na kuanza kutumika ndani ya muda mfupi ujao (less than 6 months) kwa zaidi ya 80% wanaenda "kustawisha" mapori ya Ukraine I can assure you!
Ni utaratibu wa kawaida kila mwaka kuajiriwa askari wapya. Kwani huko kwenu kwenye amani hamtoi ajira kwa wanajeshi/askari wapya?
 
Watu wanasema hii sio Vita ni special operation ya kawaida tu, unapoteza wanajeshi 45k hiyo operation gani?
Na hapo alienda kwa mbwembwe na msafara wake wa 65km, ule msafara haupo tena.
anajifariji eti operation shame on Russia,
Unaenda kuvamia taifa huru kwa hofu yako tu.
 
Back
Top Bottom