Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

Ni utaratibu wa kawaida kila mwaka kuajiriwa askari wapya. Kwani huko kwenu kwenye amani hamtoi ajira kwa wanajeshi/askari wapya?
 
Watu wanasema hii sio Vita ni special operation ya kawaida tu, unapoteza wanajeshi 45k hiyo operation gani?
Na hapo alienda kwa mbwembwe na msafara wake wa 65km, ule msafara haupo tena.
anajifariji eti operation shame on Russia,
Unaenda kuvamia taifa huru kwa hofu yako tu.
 
Sasa ndio waanze kutumika 2023, mbona Kama wewe ndio huna akili[emoji3]
Umeelewa vipi hapo kwenye Kutumika 2023? Kwani mwanajeshi kutumika ni mpaka aende vitani? Hapa kwenue hawatumiki? Mna vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…