Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Hawawezi kuelewa hao mabichwa Maji hawajui umuhimu wa power imbalance katika siasa inshort siasa hawaijui

Power imbalance ni muhimu ktk Kila sekta ya maisha ya binaadamu ndio maana Kuna wakati ni lazima mtu anaye fanya vizuri ktk soko Fulani kikazi au biashara lazima atafutiwe mpinzani wake Ili kumfanya apunguze maringo /ubabe/ manyanyaso kwa sababu akifanya hayo wakati ana mpinzani wake watu watamuacha Yeye watahamia upande wa pili na Yeye atapoteza ushawishi
 
Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Kwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?
 
Hawa pro Russia wanajifariji tu, lakini ukweli wanaujua vizuri sana,
 
Huyu mwamba hatari kwa put in
 
Wewe ni mtu mjinga anaejifanya mjuaji. Anza kusoma historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…