Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakuwa fashisti unaweza kukimbia hata kivuli chako [emoji2][emoji2]Muoga anaogopa hitmen [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kwel kaiba simu huyu sio bure..[emoji23][emoji23]Mkuu msamehe kaiba simu ya mazaake[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Unataka Tena bibie..,Sasa mbona nimechoka jamaniKwa kwel kaiba simu huyu sio bure..[emoji23][emoji23]
Hawawezi kuelewa hao mabichwa Maji hawajui umuhimu wa power imbalance katika siasa inshort siasa hawaijuiNi vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2380][emoji2380][emoji2380] huna akili katawaz3 wakuingize tena[emoji533][emoji1646]
Mkuu vipi Mama J bado kakazaa?Ilkuaje akawa msaliti kwa Russia,
Na akawa rafiki wa wamagharibi,
Wajuvi wa historia mnifafanulie hili[emoji848]
Hata wananchi wa kawaida ni kama wamefurahi jamaa kufaJamaa kweli lilikuwa lisaliti la nchi yake mpaka wame litenga kiasi hicho wasted sperm
Hili sio jukwa sahihi achaga uchokozi 😅 😅 😅Mkuu vipi Mama J bado kakazaa?
Jamaa wanamuona kama msaliti aliyeshirikiana na madola ya magharibi kuuangusha umoja wa kisoviet,
Ilkuaje akawa msaliti kwa Russia,
Na akawa rafiki wa wamagharibi,
Wajuvi wa historia mnifafanulie hili[emoji848]
Kwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Hawa pro Russia wanajifariji tu, lakini ukweli wanaujua vizuri sana,Kwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?
Huyu mwamba hatari kwa put inTaarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi.
Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022 akiwa na umri wa miaka 91, pia hatapewa heshima ya mazishi rasmi ya Serikali, na kumfanya kuwa kiongozi wa kwanza tangu Nikita Khrushchev kutopewa heshima hiyo.
Badala yake Putin ametoa heshima zake za mwisho kwa kiongozi huyo wa Soviet leo September 1,2022 asubuhi, akiacha maua karibu na jeneza lake kwenye ukumbi wa maombolezo wa Hospitali kuu ya Moscow.
==============================
Vladimir Putin will not attend the funeral of Mikhail Gorbachev, the last leader of the Soviet Union, the Kremlin has said, in what will be seen as an extraordinary snub by the Russian president.
Gorbachev, who died on Tuesday at 91, will also not receive an official state funeral, a Kremlin spokesperson indicated, making him the first leader since Nikita Khrushchev not to be given that honour.
The spokesperson, Dmitry Peskov, said schedule constraints meant Putin would not attend a public farewell ceremony at Moscow’s House of Unions, or the funeral at Novodevichy cemetery on Saturday. “Unfortunately, the president’s work schedule will not allow him,” Peskov said.
Putin did pay his respects to the Soviet leader on Thursday morning, leaving flowers by Gorbachev’s coffin at the mourning hall of Moscow’s Central Clinical hospital.
The Guardian
Keshalegeza, tusharudiana[emoji4]Mkuu vipi Mama J bado kakazaa?
Wewe ni mtu mjinga anaejifanya mjuaji. Anza kusoma historiaKwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?
Huyu mwamba hatari kwa put in
View attachment 2344231
AmechelewaPutin anajaribu kurudisha himaya za Ussr kimabavu ila hatofanikiwa.