Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Hawawezi kuelewa hao mabichwa Maji hawajui umuhimu wa power imbalance katika siasa inshort siasa hawaijui

Power imbalance ni muhimu ktk Kila sekta ya maisha ya binaadamu ndio maana Kuna wakati ni lazima mtu anaye fanya vizuri ktk soko Fulani kikazi au biashara lazima atafutiwe mpinzani wake Ili kumfanya apunguze maringo /ubabe/ manyanyaso kwa sababu akifanya hayo wakati ana mpinzani wake watu watamuacha Yeye watahamia upande wa pili na Yeye atapoteza ushawishi
 
Jamaa wanamuona kama msaliti aliyeshirikiana na madola ya magharibi kuuangusha umoja wa kisoviet,
FB_IMG_16620708164396498.jpg
FB_IMG_16620708242031723.jpg
FB_IMG_16620708284169110.jpg
FB_IMG_16620708333067887.jpg
 
Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Kwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?
 
Hawa pro Russia wanajifariji tu, lakini ukweli wanaujua vizuri sana,
 
Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi.

Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022 akiwa na umri wa miaka 91, pia hatapewa heshima ya mazishi rasmi ya Serikali, na kumfanya kuwa kiongozi wa kwanza tangu Nikita Khrushchev kutopewa heshima hiyo.

Badala yake Putin ametoa heshima zake za mwisho kwa kiongozi huyo wa Soviet leo September 1,2022 asubuhi, akiacha maua karibu na jeneza lake kwenye ukumbi wa maombolezo wa Hospitali kuu ya Moscow.

==============================

Vladimir Putin will not attend the funeral of Mikhail Gorbachev, the last leader of the Soviet Union, the Kremlin has said, in what will be seen as an extraordinary snub by the Russian president.

Gorbachev, who died on Tuesday at 91, will also not receive an official state funeral, a Kremlin spokesperson indicated, making him the first leader since Nikita Khrushchev not to be given that honour.

The spokesperson, Dmitry Peskov, said schedule constraints meant Putin would not attend a public farewell ceremony at Moscow’s House of Unions, or the funeral at Novodevichy cemetery on Saturday. “Unfortunately, the president’s work schedule will not allow him,” Peskov said.

Putin did pay his respects to the Soviet leader on Thursday morning, leaving flowers by Gorbachev’s coffin at the mourning hall of Moscow’s Central Clinical hospital.

The Guardian
Huyu mwamba hatari kwa put in
FB_IMG_16621947666835237.jpg
 
Kwani sasa hivi ni kitu gani wakiamua kukifanya huyo putini atawazuia?!! Dunia nzima huyo putin marafiki zake hawazidi 8!!tena na wengine ni wale wakujificha ficha!!chinia mwwnye ndio huyo mala amkatae!!kwa dunia ya sasa kuwa na viongozi kama hao ni hatari, ila vita hii ya ukraine ime mvua nguo kabisa!!na je kama toka mwanzo NATO, wangempatia hizi silaha wanazompa ukraine sasa hivi si vita ingekuwa imekwisha!?
Wewe ni mtu mjinga anaejifanya mjuaji. Anza kusoma historia
 
Back
Top Bottom