Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

Ingekuwa Russia inashambulika kirahisi hivyo sasa hv hata haipo!

Kuna kitu kinatengenezewa uhalali hapo........tutakijua na kukiona hv punde!!
Hizi zilikuwapo toka mwaka jana.
 
Msikilizeni msemaje mkuu wa Ikulu wa Merikani, ndio mtajua kinacho endelea nyuma ya pazia - Zelenensky na genge lake hawana ubavu wa utaka kumuua Rais Putin - kuna watu wanampa kiburi hicho, nina wasi wasi hata Drones hizo zina kuwa assembled Ukraine kama kiiini macho kuzuga Dunia kwamba Ukraine ndio kuaunda Drones hizo hata Putin akilengwa/uwawa walaimiwe wa Ukraine kumbe muuaji alisi lakini nfio wanawatumia Ukraine kutekeleza malengo yao ya siku nyingi namely killing Putin at all cost forgetting that Russians too gotta such capability of eliminating the President of the Nation planning all these nonsense,

As I said the drone may be assembled in Ukrain as a smoke screen but the brains behind eliminating Putin are well known those are they one supplying electronic navigation and control systems, satellite signals for dgps to aid cordinates in zeroing on designated targets - I am sure Russian military and intelligence knows everything and who are culprit - who ever is handling Zelensky this time Zelensky has gone too far - whatever happens to him no one will be sorry and if there is still a nation or ana aliiance that are still determined to eliminate Putin that will trigger WW3 for sure which USA won't win no matterr what - Russian had been preparing for this type of battles years on end - they know how to intercept all ICBMs SLBM and land based, cruise missiles etc - It won't be easy for US/NATO to defeat Russians USA, thermonuclear arsenal notwithstanding, as I said Russians knows how to neutralise them with easy.
 
Supapawa anatishiwa mpaka ikulu kizembe hivi....hehehe
 
Duh. Hawa watoto wa Zelensky Mkandamizaji inaonekana wamejichokea kuishi. Ngoja putin awasaidie kwenda kwa baba kwa haraka na wepesi zaidi
Hii ninamashaka nayo unaonekana mpango wa kremrin si Ukrein!, Nadhani Urusi anataka kuongeza kipigo cha kulipiza trani yake kwahiyo anaongezea ongezea uzito
 
You talk too much, calm down boy.
 
mnavyoa andika muwe na utafit kabla , warusi wenyew wanalia wanakuwa koloni la china kisa hii vita , yaan kila bidhaa hadi technology inaanza kuwa chini ya China
Leta utafiti wako na wewe.,, acha kulialia bwana yenu ndo hivo tena samwaleko
 

Hapo vipi????? Kwa hali ya kawaida ni ngumu kuamini kuwa shambulio limetoka nje ya Urusi!!!!!!!!!!!!

Some commentators have argued that the alleged drone strike on the Kremlin was internally conducted and purposefully staged by Russia.
The Institute for the Study of War said it is "extremely unlikely that two drones could have penetrated multiple layers of air defence and detonated or been shot down just over the heart of the Kremlin in a way that provided spectacular imagery caught nicely on camera".
It said that "Russia likely staged this attack in an attempt to bring the war home to a Russian domestic audience and set conditions for a wider societal mobilisation".

Source:Bbc:04/05/2023
 
Kwa sasa dikteta uchwara Putin yuko anafoka hatari Ikulu na wasaidizi wake wanamuogopa kumwambia tujitoe ukrane kilichobaki ni kumsikiliza na kumjibu " tunalifanyia kazi mkuu" huku wakijua kabisa maji ni ya shingo,,alafu ni ngumu kuacha ugomvi uliouanzisha mwenyewe maana huwa ni aibu mpaka atokee mtu mwenye busara aamue ugomvi ushatepeta,,huku wahuni wamekaa pembeni wanafrahia burudani.Putin kakutana na kakijana katukutu kanamtoa jasho akikimbia atachekwa na ulimwengu sasa afanyeje!? Enyi warusi wa Kashozi,Bunena na Rubale msaidie mwenzenu mawazo
 
Haya maelezo yanawezekana ndio sahihi zaidi katika hili shambulio la Kremlin.
 
Muda huu wkt vita inaendelea wakandarasi wa langrey wapo Moscow na Kremlin kumsaka Edward Snowden mpiga mbinja aliyekimbia na Siri za pentagon.

Na wanakaribia kumfikia.
hii ni kwa mujibu wa shangazi yangu ambaye Ni mtumishi pale viunga vya Virginia.
 
Kushambuliwa ikulu? Tulivyotangaziwa khs Russia na tunavyojionea ni tofauti kabisa.
 
Kremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2

Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka
Kama kweli drones za UKRAIN zimegusa Ikulu basi Rusia ana maumivu makubwa na hatangazi
 
Angalia uchumi wa urusi na nchi za ulaya magharibi wakina nani wanasota,,,, Ufaransa kwa sasa ni mwendo wa maandamano tu. Hali ngumu ya maisha
France wanaandhama kuongezewa Pencheni kama hapo bongo munavyomlalamikia Samia, hakuna uhusiano maandamano ya France na vita ya Ukrean wala vikwazo alivyoekewa mrusi ni hujitumi tu kutaka kujua mambo ya ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…