4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwan ni mara ya kwanza urusi kujishambulia ?Zelensky kaamza kujamba Jamba [emoji16][emoji16][emoji16]
#BREAKING Ukraine says it had 'nothing to do' with alleged Kremlin drone attack
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan ni mara ya kwanza urusi kujishambulia ?Zelensky kaamza kujamba Jamba [emoji16][emoji16][emoji16]
#BREAKING Ukraine says it had 'nothing to do' with alleged Kremlin drone attack
na kuua waukraine sio ugaidi ,nyiny wavaa kobaz kuna kaukichaa fulan hv mnacho"Kitendo cha kutaka kumuua Rais wa nchi ni ugaidi tena wa wazi Rusia utalipa kea njia inayoona inafaa"
Kwa jinsi ninavyomjua Putin bila kulila kwa tukio hilo itakuwa dharau kubwa hapo tutegemee breaking news kutokea Kiev.
hawa wavaa kobaz wanashabikia undez wa Putin ila hawajui warusi halisi wanaumia moyon hawawez ongea ila nyuso za warus zinaonesha , mtu huez ikimbia vita ya nchi juwa kabisa umegundua kuwa ni ya kipumbavMkuu vikwazo vimemuathiri putini juzi amekiri vikwazo vya west sasa vinaanza kuiathiri Urusi, US toka vita inaanza walipitisha badget ya miaka 5 kumshughulikia putin hivyo sasa ndio kwanza mwaka, putini alipotangaza ataivamia Ukrean alisema atatumia 72hrs tu kumaliza kila kitu Ukrean lakini baadae ngoma alipoona ni ngumu akasema miezi 6 sasa mwaka umeisha anapigana kwa hasara
Juzi juzi Urusi wamepitisha sheria Wananchi wa Russia kukatwa mishahara yao 2% ili wachangie gharama za vita ukrean, Vita ameianzisha Putin lakini sasa wanaenda kuchangishwa wananchi wa Urusi, hivyo tutarajie njaa Urusi, Warusi waliandama mpaka na kuwekwa jela kwa maelfu kupinga Urusi kuvamia majirani zao lakini Putin hakusikia sasa wananchi wake ndio wanalipa price ya vita.
Kama haitoshi ilibidi apeleke raia wake vitani kwa nguvu alipwapa mikataba na wengine walikimbia kusikojulikana na wafungwa baada ya uhaba wa wanajeshi wake kuuliwa kama kuku, na kundi la Wagner group kiongozi wao ametangaza kujitoa Bakhmut mana hawana silaha kila siku wanauliwa zaidi ya 1000 na kuziweka maiti kwenye coffin majeneza na kurejesha maiti walikotoka.
Soma vizuri post yangu huwa sikuzote hauna akili ,kuweza kutype ni mafanikio makubwa kwa mtu kama wewe.na kuua waukraine sio ugaidi ,nyiny wavaa kobaz kuna kaukichaa fulan hv mnacho
kisa wamezuiliwa kuongea ndo hunajikuta kipofu kuona wanavyoikimbia nchi yao ?Angalia uchumi wa urusi na nchi za ulaya magharibi wakina nani wanasota,,,, Ufaransa kwa sasa ni mwendo wa maandamano tu. Hali ngumu ya maisha
usibishe jiulize kwann alikana kuwa na mpango wa kuivamia ukraine siku mbili kabla ya kuivamia ukraine ?Yaani uingereza au Marekani aingie vita ya moja Kwa moja na nuclear superpower?aisee umetoa boko sana
hiyo hapo Ukraine ni kielelezo toshaUnajuaje kwamba urusi anatactics zero?ebu tueleze mtaalamu wa vita kutoka buza? hakuna anayetaka vita vya nuclear Kwa Sababu hakuna mshindi kwahiyo marekani au uingereza hawezi kuthubutu kuingia vita na urusi.ebu jaribu kutumia Akili.
ila anachofanya urusi huko ukraine sio ugaidi ?Zimerushwa nje ya Ikuru. Ughaidi
una akili ndogo sana sijivunii kuwa mwafrika iwapo nitagundua nawewe ni mwafrika , akili za kishoga izooo , yaan sawa kuonewa kisa ww mdogoHuyo ni mkubwa. Ni sawa na marekani kupiga mabomu mazito Afghanistan, Ila kurushwa kabomu kamoja ka mkono marekani ni ugaidi
waafrika ni vichaa mpk hapo mnaona sawa raia wema wanaouliwa na urusi huko ukraine ila wanaojitetea ni magaidi , ndio maana tunaitwa nyaniyy[emoji635][emoji1255][emoji779]️From today, Vladimir Zelensky should be declared a terrorist, a blow is needed to convince the enemy that Russia has the opportunity to punish such actions to death, Oleg Morozov, deputy of the State Duma from United Russia, told RIA Novosti.
kwan urusi anafanya nn ndan ya ukraine mpk iwe kosa ukraine kuingia urusi pia ?Habarini za jioni wakuu.
Kuna taarifa zimeanza kuzagaa kwenye media mbali mbali kuanzia leo mchana kuwa,JANA USIKU NDEGE MBILI ZISIZO NA RUBANI ZIMESHAMBULIA IKULU YA KREMLIN PALE MOSCOW.
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Urusi ni kwamba hilo lilikuwa ni jaribio la kigaidi la ukraine kutaka kumuua Rais Putin.
Na wizara imesema kuwa ndege zote zilinaswa na mfumo wa ulinzi na hazikusababisha madhara yeyote wala uharibifu wa majengo.
Lakini pia Ukraine mpaka sasa haijasema kuwa imehusika na Rais wao Zelensky yuko ziarani huko FINLAND.
Lakini pia urusi imesema imesema italipiza kisasi shambulizi hilo kwa muda na wakati unaofaa.
Hivyo basi, kwa ninavyoijua URUSI, mda si mrefu KIEV kutawaka moto.
Ukraine imefanya kosa kubwa mno kujaribu kuingia mpaka Moscow kwenye ikulu ya Rais, kwa mtazamo wangu hili litazidi kuwagharimu Ukraine.
Wanataka kuiponda Kyiev na kummaliza shujaa zelensky. Mungu ibariki Ukraine.Kuna kitu kinatengenezewa uhalali hapo........tutakijua na kukiona hv punde!!
Kuhalaliaha ubazazi [emoji1787]Kremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2
Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka
Ili muendeleze ushogaWangemuua kabisa jamani tumechoka
Drone hazikushushwa?Kremlin yenyewe ndo imepigwa na drone 2
Haijulikani kama ni Ukraine au Russia imeamua jitekenya na kucheka
Na ukiona ukraine wameanza kuingia huko russia, elewa wameshamjua mrusi nje ndani.Ukishambulia russia km ilikuwa kwa siku makombora 30 utaongezewa inakuwa makombora 100 kwa siku mpk ujute