Uislamu unapambana kuondoa dini nyingine kwa kuwaua ili kuwa na umma ya waislamu tupu dunian koteBora ungekaa kimya unazidi kuonyesha ujinga wako wewe upo Uloye unapinga msome Papa kabla ya kifo chake.
Pope John Paul II made many apologies. During his long reign as Pope, he apologized to Jews, women, people convicted by the Inquisition, Muslims killed by the Crusaders and almost everyone who had suffered at the hands of the Catholic Church over the years. Even before he became the Pope, he was a prominent editor and supporter of initiatives like the Letter of Reconciliation of the Polish Bishops to the German Bishops from 1965. As Pope, he officially made public apologies for over 100 of these wrongdoings, including:
Christians involved in the African slave trade (14 August 1985, also at various points in the 1990s)
The Church's role in burnings at the stake and the religious wars that followed the Protestant Reformation (May 1995, in the Czech Republic).
Unapoteza muda wako kupambana na Uislam kuna wenzako toka karne ya 7 walikuwa wanapambana na Uislam leo wapo wapi na Uislam upo wapi?
🤣🤣
Huo ndo ukweli jamaa wameenda na kuanza kutupa risasi hovyo na kurusha mabomuAttack za namna hii zinaonesha uhalisia wa security za nchi husika . Tofauti na media zinavyopiga propaganda na kuaminisha watu ila watu wakiji organize vizuri wanaweza kufanya lolote. Swali la msingi , hawa jamaa walipita vipi na silaha sehemu tight Kama ile tena kwenye tamasha. What we see in their media is not the reality
wale magaid ya msumbiji hukimbilia Tz je kizimkazi huwafadhir pia ?Putin ameshaongea
Walikuwa wanaelekea Ukraine na tayari walikuwa wamesha wekewa mazingira ya kupokulewa na kuhifadhiwa.
Halafu mitandao ya mashoga inang'ang'ania ni ISIS
Ukraine wakae mkao wa kuliwa
Some victims of Moscow shooting in critical condition, authorities say – as it happened
This blog has now closed. You can read our full report on the attack on Crocus City Hall in Moscow herewww.theguardian.com
Wewe ufahamu chochote kuhusu Uislam zaidi ya chuki zako.Uislamu unapambana kuondoa dini nyingine kwa kuwaua ili kuwa na umma ya waislamu tupu dunian kote
Ni sahihi ama sio sahihi inategemea una compare nani huko India sababu India nayo ni kubwa, wahindi wa mashariki obvious hawafanani na Pakistan ila wahindi wa Magharibi ndio wale wale, mfano mzuri ni hao Punjab, wapo kote kote.Kuwa Pakistan na India kuwa taifa moja hilo halipingiki mkuu.
Ila asili ya Pakistan sio uhindi.
Ni sawa tu na kusema Kurdi walivyoenea Syria kiasi ni sehemu ya Syria.Ni sahihi ama sio sahihi inategemea una compare nani huko India sababu India nayo ni kubwa, wahindi wa mashariki obvious hawafanani na Pakistan ila wahindi wa Magharibi ndio wale wale, mfano mzuri ni hao Punjab, wapo kote kote.
Scholz prevented Russia from launching a nuclear attack on Ukraine, Bild reports.Huo ndo ukweli jamaa wameenda na kuanza kutupa risasi hovyo na kurusha mabomu
Alafu putin anaenda malizia hasira ukraine ambao sio kiini cha tatizo
Putin anaongozwa sana na hisia na sio akili na madikteta wote walivyo wanaongozwa sana na hisia
DUNIA BILA UISLAM INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!Ushaishiwa hoja wacha niku block nishakujua we ni kijana tu mpuuzi usiyejielewa.
Unaubishi wa kijingaNi sawa tu na kusema Kurdi walivyoenea Syria kiasi ni sehemu ya Syria.
Ila kiasili kurdi sio waarabu ni persian descendants.
Hivyo hata Pakistani jamii yao kubwa ni ya wale waliohama toka Central Asia kuja hizi pande za ukingo wa middle and Far east mkuu.
Waliowengi pakistan ni Punjab, sindhi, na sairikies hawa ni pure wahindi na wanabagua sana pushtun na balochs ndo maana balochs wanafanya movement mpaka leo wawe na nchi yao balochstan hata shambulio la juzi la iran liliwalenga balochs wanaohishi pakistanNi sahihi ama sio sahihi inategemea una compare nani huko India sababu India nayo ni kubwa, wahindi wa mashariki obvious hawafanani na Pakistan ila wahindi wa Magharibi ndio wale wale, mfano mzuri ni hao Punjab, wapo kote kote.
Kwamba nyie mnajua kuliko Putin? Putin anapigana na Isis Syria miaka nenda miaka Rudi, anajua muisilamu ni yupi na makundi feki ni yapi, Isis wanahangaika kweli kujipa responsibility ya hili tukio ila Putin hana time nao.Huo ndo ukweli jamaa wameenda na kuanza kutupa risasi hovyo na kurusha mabomu
Alafu putin anaenda malizia hasira ukraine ambao sio kiini cha tatizo
Putin anaongozwa sana na hisia na sio akili na madikteta wote walivyo wanaongozwa sana na hisia
Hivi unajua hata hayo maneno uliyotaja yana asili ya kihajemi??Unaubishi wa kijinga
Punjab, sindhi, na sairikies hawa ni pure wahindi na wanabagua sana pushtun na balochs ndo maana balochs wanafanya movement mpaka leo wawe na nchi yao ya balochstan na hawa wapo pakistan na iran pia wapo hata shambulio la juzi la iran liliwalenga balochs wanaohishi pakistan
Pushtun na balochs wale ni sawa na wairan
Central asia tajikistan, uzbekstan n.k ile ni jamii ya turkic (turkic people) tofauti na persians au jamii ya wahindi
Turkey, azerbaijan, turkmenstan lugha zao wanasikilizana huku uzbekistan na uygur wa china lugha zao wanasikilizana
Hao Tukriye origin yenyewe wana vinasaba ama udugu na Persian origin.Waliowengi pakistan ni Punjab, sindhi, na sairikies hawa ni pure wahindi na wanabagua sana pushtun na balochs ndo maana balochs wanafanya movement mpaka leo wawe na nchi yao balochstan hata shambulio la juzi la iran liliwalenga balochs wanaohishi pakistan
Pushtun na balochs wale ni jamii ya persian (wairan)
Central asia tajikistan, uzbekstan n.k ile ni jamii ya turkic (turkic people) tofauti na persians au jamii ya wahindi
Turkey, azerbaijan, turkmenstan lugha zao wanasikilizana huku uzbekistan na uygur wa china lugha zao wanasikilizana
Sawa Acheni kuoga, msipige mswaki, Acheni civilazition zote zilizoletwa na waisilamu tuone mtaishi vipi?DUNIA BILA UISLAM INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!
Hizo kabila ulizotaja sio kabila halisi za India kijana.Waliowengi pakistan ni Punjab, sindhi, na sairikies hawa ni pure wahindi na wanabagua sana pushtun na balochs ndo maana balochs wanafanya movement mpaka leo wawe na nchi yao balochstan hata shambulio la juzi la iran liliwalenga balochs wanaohishi pakistan
Pushtun na balochs wale ni jamii ya persian (wairan)
Central asia tajikistan, uzbekstan n.k ile ni jamii ya turkic (turkic people) tofauti na persians au jamii ya wahindi
Turkey, azerbaijan, turkmenstan lugha zao wanasikilizana huku uzbekistan na uygur wa china lugha zao wanasikilizana
Punjab wako india na pakistan na eneo lao lili gawanywa na cyril radcliffHizo kabila ulizotaja sio kabila halisi za India kijana.
Fuatilia hizo kabila zina asili gani.
Ni sawa Mngoni alivyokuja Tanzania tukamkaribisha na akawa sehemu ya Tanzania na makabila yatambulikayo Tanzania halafu ukatae kuwa chimbuko lake South Afrika na udai kuwa chimbuko lake Tanzania kisa kabila limekua hapo ilhali walihamia toka S.A.
Punjab ni pure wahindi wewe kakariru juzuuHivi unajua hata hayo maneno uliyotaja yana asili ya kihajemi??
Hususan hilo neno Punjab 100% ni persian word.
Aisee una kichwa kigumu sana.
Kwahiyo Punjab na Sindhi kuwabagua Boluchis inamaanisha kuwa hao sio asili ya Persi??
Mbona Turkiye na Iran wanawabagua Kurdis??
Je kurdis sio asili yao??!!
Kafuatilie chimbuko la kitu ndio urejelee hapa.
Kwani waislamu wote si wamefunga ama??View attachment 2942624
Ndio maana uchinani hawataki masihara
Kwahiyo unataka kuniambia Kuoga na kupiga mswaki ni Civilization zilizotolewa na Waisilamu?Sawa Acheni kuoga, msipige mswaki, Acheni civilazition zote zilizoletwa na waisilamu tuone mtaishi vipi?