Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Ustaarabu ni pamoja na science kama ulikua hujui ndo ujue na leo, huwezi ongelea ustaarabu pasipo kuongelea science,
Science ndo imefanya kukawa na mfumo wa maji majumbani mpaka shower, kutengeneza sabuni, kuvaa nguo huwezi ongelea ustarabu pasipo science

Huwezitenga civilization na science sababu science ndo civilization yenyewe

Warabu ni vilaza tu kwa wazungu hawana kitu cha kujivunia zaidi ya dini ya uislamu hawana kingine
Mwarabu aliyemzidi kwa akili ni mwafrika na sio mzungu au jamii nyingine za mashariki ya kati au ulaya
 
We ndo mjinga unabishana na mambo yapo wazi kakariri juzuu ndo unachojua
Soma hapo kesha ndio urudi.
Huwenda ukielekezwa kwa msaada wa google utaelewa.
Punjab ni Aryan tribe descendants na Aryan tribe ni zao la kiajemi waliingia india Millenia hiyo uliyotajiwa hapo chini.
Usipoelewa hapa basi.
Hao ni google sio mimi.
 
Sijakataa science ni ustaarabu ila ustaarabu si science tu.

Huna unalojua mkuu, ukipewa vitu kwa ushahidi unachochora unapenda kubishana maneno matupu.

Na waarabu mpaka leo wana effect kubwa tu kama hujui kuanzia matajiri wa dunia, wachumi, wanasayansi etc sababu CNN haijakuambia na wewe huwezi jua.

Mfano nakupa mtu mmoja tu huyu Bi dada anaitwa Zaha Hadidi mtoto wa Zamani wa Waziri wa Fedha Iraq.

Angalia kazi Zake


Kachafua China, Moscow, Ulaya hadi Marekani, ukiona tu jengo kubwa ambalo lipo unique lina kona kila mahala ujue anahusika

Hakuna kizazi chetu hiki architecture alieacha alama kumzidi, hao wazungu unaowasifia Majiji yao yote yamewekwa Alama na huyu Bi dada.
 
Point ni kwamba propaganda ni nyingi sana kwenye media za hawa jamaa , iwe west iwe Russia uwe Iran au Israël propaganda ni nyingi mno. Swali ni je ulinzi madhubuti ambao russia anatangaza kila siku kwenye tv Leo kashindwa kuzuia shambulio kama hili ? What does this tell u? Hizi nchi zipo weak kuliko wanavyotangaza na kujaza watu uongo. Kama Russia ana uwezo mkubwa wa intelligensia kashindwa vp kuzuia haya mauaji? Kama ilivyo Israël ilielemewa na rocket za Hamas lakini wamekuwa wakiaminisha dunia kwamba ulinzi wao ni untouchable. Labda tu assume Putin ana intelligence Kali na Ka stage hili jambo ili aweze kufanikisha malengo yake lakini bado anatuaminisha kwamba kashambuliwa kitu ambacho bado anatupiga propaganda . Ukipima options zote unabaki kuona kwamba dunia imejaa propaganda na uongo uongo kuliko uhalisia wa mambo . Ni Kwa bahati mbaya sisi huku tunalala tunaamka tunabishana na kumhusisha udini na ushabiki usio na kichwa wala miguu . These people are taking advantage of our poor minds , they are wasting our time while they’ are making big businesses.
 
Ila kaka kwa jinsi vita inavyoendelea baina ya Russia na Ukraine siwezi msema sana Russia kuwa ni dhaifu hapana.
Pia hili tukio ni gumu kulidhibiti yani sio sahihi na la kulifananisha na la Hamas rockets.
Maana kama zile rocket za Hamas zingerushwa Russia sidhani kama mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia ungekua incompetente kuzuia.
Ila kaka silaha katika nchi kama Russia ni rahisi kupata tena rahisi sanaa.
Tukio kama hili la Russia gumu kulizua mkuu.
 
Ni gumu kulizuia na ndo maana wameshindwa (kama ni kweli si tukio la kutengeneza) Na hii inaonesha weakness za hawa watu tofauti na tunavyoaminishwa kwenye media zao. Mambo kwa ground ni tofauti na ubishi wetu wa kila siku. Na Kwa mantiki yako Russia ni vulnerable kama watu wakiamua kujipanga vizuri.

Ubaya wa matukio Kama haya yanakunyima amani yani ni kama mbu anayesumbua usiku kucha, ni mbu hana nguvu ila anakufanya usilale (utumie resource nyingi sana) pamoja na kukujaza hofu 24/7.
 
Hio picha inakukumbusha unakula vumbi ya kutosha, nenda katafute hela sio unapanga chumba JF bila kodi
escapism 😂
Endelea kujifariji na kujifurahisha
Unataka na mimi nikutambie mimi sio mtoto kama wewe na nilishakuambia siwezi poromosha matusi kama wewe

Nilishakupa ruhusa tukana matusi yote sababu ni maneno matupu yasiyokua na impact kwangu
Kwa hiyo endelea usichoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…