Nikikwambia una elimu ndogo unabisha.Kakariri juzuu muda wa madrasa huu
AYA BISHA NA HAPO.
Ukiletewa facts unakimbilia watu kuk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikwambia una elimu ndogo unabisha.Kakariri juzuu muda wa madrasa huu
Ustaarabu ni pamoja na science kama ulikua hujui ndo ujue na leo, huwezi ongelea ustaarabu pasipo kuongelea science,Nimekwambia leta proof unaleta bla bla,
Science imejaa majina kibao ya kiarabu Alchemy, alkaline, algebra, Almanac ama kitu chochote unachoona kinaanziwa na Al kama Algorithm asili yake ni huko uarabuni, kuna Elixir, zero, Alcohol na maneno kibao.
Na ustaarabu si science,
nasubiria proof yako wagiriki ndio wame leta huo ustaarabu na sio hizo "trust me bro" evidence.
Muda wa madrasa huu nenda kakariri juzuuNikikwambia una elimu ndogo unabisha.
AYA BISHA NA HAPO.
Ukiletewa facts unakimbilia watu kukView attachment 2944384View attachment 2944385View attachment 2944386ariri juzuu
Soma hapo kesha ndio urudi.We ndo mjinga unabishana na mambo yapo wazi kakariri juzuu ndo unachojua
Nenda madrasa kakariri juzuuSoma hapo kesha ndio urudi.
Huwenda ukielekezwa kwa msaada wa google utaelewa.
Punjab ni Aryan tribe descendants na Aryan tribe ni zao la kiajemi waliingia india Millenia hiyo uliyotajiwa hapo chini.
Usipoelewa hapa basi.
Hao ni google sio mimi.
View attachment 2944387View attachment 2944389View attachment 2944390
Kwisha habari yako.Muda wa madrasa huu nenda kakariri juzuu
Babuuu nimeshamaliza mjadala na wewe endelea na yako.Nenda madrasa kakariri juzuu
Wahi madrasa ukakariri juzuuuKwisha habari yako.
Umeletewa ushahidi na unaupinga
😂😂😂😂😂😂😂😂.
Nimeshamaliza mjadala na wewe.
Wahi madrasa ukakariri juzuuuBabuuu nimeshamaliza mjadala na wewe endelea na yako.
Sibishani na vilaza.
Umeletewa ushahidi na unaupinga.
We ni mbishani sio mtu wa marumbano kwa hoja.
Uwe na jioni njema.Wahi madrasa ukakariri juzuuu
Usihau kwenda madrasa kukariri quranUwe na jioni njema.
Endelea na mijadala mingine mkuu tafadhali.
Sijakataa science ni ustaarabu ila ustaarabu si science tu.Ustaarabu ni pamoja na science kama ulikua hujui ndo ujue na leo, huwezi ongelea ustaarabu pasipo kuongelea science,
Science ndo imefanya kukawa na mfumo wa maji majumbani mpaka shower, kutengeneza sabuni, kuvaa nguo huwezi ongelea ustarabu pasipo science
Huwezitenga civilization na science sababu science ndo civilization yenyewe
Warabu ni vilaza tu kwa wazungu hawana kitu cha kujivunia zaidi ya dini ya uislamu hawana kingine
Mwarabu aliyemzidi kwa akili ni mwafrika na sio mzungu au jamii nyingine za mashariki ya kati au ulaya
Kwamba nyie mnajua kuliko Putin? Putin anapigana na Isis Syria miaka nenda miaka Rudi, anajua muisilamu ni yupi na makundi feki ni yapi, Isis wanahangaika kweli kujipa responsibility ya hili tukio ila Putin hana time nao.
We jiulize swali moja tu kuna mahusiano gani kati ya makundi ya kiisilamu ya Syria na Ukraine? Haimake sense ianze vita Ukraine halafu eti makundi ya Syria yakimbilie Ukraine yaache vita vya Syria.
Tumeona mengi tu Ukraine kama
1. Wanajeshi wa Ukraine kuvaa uniform za Isis na kujisahau kutoa badge yao
View attachment 2944330
Hii ilirepotiwa kwenye tv ya Denmark bila mwandishi kujua kama hio ni badge ya Isis, baadae huko watu wanaoangalia tv Wakaja kutambua.
2. Makamanda hao hao wanaopigana vita Syria kuhamia Ukraine na vikundi vyao
View: https://twitter.com/Megatron_ron/status/1771506010038899015
Ina make sense kwako nchi yako unapigania halafu itokee vita nchi nyengine ukimbie Nchi yako ukafe unapigania nchi nyengine?
So nyie mnaomeza propaganda za west nzima nzima hamtaelewa ila ushahidi upo wazi Mwenye Isis ni nani.
Usijali pia usisahau kujifunza kusoma kwa uelewa.Usihau kwenda madrasa kukariri quran
Ila kaka kwa jinsi vita inavyoendelea baina ya Russia na Ukraine siwezi msema sana Russia kuwa ni dhaifu hapana.Point ni kwamba propaganda ni nyingi sana kwenye media za hawa jamaa , iwe west iwe Russia uwe Iran au Israël propaganda ni nyingi mno. Swali ni je ulinzi madhubuti ambao russia anatangaza kila siku kwenye tv Leo kashindwa kuzuia shambulio kama hili ? What does this tell u? Hizi nchi zipo weak kuliko wanavyotangaza na kujaza watu uongo. Kama Russia ana uwezo mkubwa wa intelligensia kashindwa vp kuzuia haya mauaji? Kama ilivyo Israël ilielemewa na rocket za Hamas lakini wamekuwa wakiaminisha dunia kwamba ulinzi wao ni untouchable. Labda tu assume Putin ana intelligence Kali na Ka stage hili jambo ili aweze kufanikisha malengo yake lakini bado anatuaminisha kwamba kashambuliwa kitu ambacho bado anatupiga propaganda . Ukipima options zote unabaki kuona kwamba dunia imejaa propaganda na uongo uongo kuliko uhalisia wa mambo . Ni Kwa bahati mbaya sisi huku tunalala tunaamka tunabishana na kumhusisha udini na ushabiki usio na kichwa wala miguu . These people are taking advantage of our poor minds , they are wasting our time while they’ are making big businesses.
Ni gumu kulizuia na ndo maana wameshindwa (kama ni kweli si tukio la kutengeneza) Na hii inaonesha weakness za hawa watu tofauti na tunavyoaminishwa kwenye media zao. Mambo kwa ground ni tofauti na ubishi wetu wa kila siku. Na Kwa mantiki yako Russia ni vulnerable kama watu wakiamua kujipanga vizuri.Ila kaka kwa jinsi vita inavyoendelea baina ya Russia na Ukraine siwezi msema sana Russia kuwa ni dhaifu hapana.
Pia hili tukio ni gumu kulidhibiti yani sio sahihi na la kulifananisha na la Hamas rockets.
Maana kama zile rocket za Hamas zingerushwa Russia sidhani kama mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia ungekua incompetente kuzuia.
Ila kaka silaha katika nchi kama Russia ni rahisi kupata tena rahisi sanaa.
Tukio kama hili la Russia gumu kulizua mkuu.
Hio picha inakukumbusha unakula vumbi ya kutosha, nenda katafute hela sio unapanga chumba JF bila kodiHii picha uliyotuma kuna sehemu nimekuambia untumie picha ushamba unakusumbua sana
Wanafunga kula ila sio matendoKwani waislamu wote si wamefunga ama??
Russia nao wanafinywa kwa kigezo cha CIA kumbe ni mujahideen wanaliwa vichwa taratibu
Endelea kujifariji na kujifurahishaHio picha inakukumbusha unakula vumbi ya kutosha, nenda katafute hela sio unapanga chumba JF bila kodi
escapism 😂