Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!

Mtu anaenda kuuwa watu wasio na hatia, halafu anajiita super power, akishiriana na rafiki zake, cha ajabu kwa mateso na mauwaji wanayopitia wapalestina miaka zaidi ya 70 ila hatujawahi kusikia ISIS au ALQAIDA wameingia kulipua Israel
 
Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!
Yaani hata mi nashangaa..inaelekea akili ziliwarudi baada ya kufanya tukio.
 
Isis= Israel = USA

Mtandanganyana humu ila Hamtandanganya Putin ambaye anajua mchezo yote.

1. Isis waliomba msamaha walivyowapiga bahati mbaya Israel
2. Isis wakiumia wanatibiwa Israel
3. Viongozi wa Isis wanaajiriwa Israel/Usa
4. Obama kwa mdomo wake Amewahi kukiri kuwapa msaada Isil
5. Trump kwa mdomo wake amekiri Isis ni zao la Usa
6. Viongozi kibao ambao wamewahi kukamatwa wa isis ni agents wa mosad na picha zao zipo
7. Maofisa mbalimbali wa FBI wamewahi kukiri Isis ni kikundi cha Usa.

Chagua point yoyote hapo juu Nakuekea source isio na mashaka.

Mpuuzi pekee ndio ataamini ISis ni kundi la kiisilamu.
Chukua na hii mnadanganya vijana wa 2004 kwamba peponi watapata bikra 72 na kufanya ngono bila kuvhoka matokeo yake
Mnavituma vifanye fujo kisa bikra 72
View: https://twitter.com/GeromanAT/status/1771436020560511241?t=uqoilZBd1xqELVb_pL_IIg&s=19
 
Yaani hata mi nashangaa..inaelekea akili ziliwarudi baada ya kufanya tukio.
Hili tukio linanipa maswali mengi sana aisee, ISIS wamepiga tukio ambalo nikiangalia video za utekelezaji wa tukio, na hivi wanavyokamatwa kizembe naona kama mazingaombwe fulani hivi. Kuna speculations kuwa huenda Ukraine amehusika katika hili tukio, najiuliza Ukraine wanapata nini katika utekelezaji wa tukio kama hili?
Wengine wanaenda mbali kusema huenda Russia wenyewe wamepiga hili tukio ili kupata sababu ya kutumia nguvu kubwa zaidi za kijeshi kumaliza operesheni inayoendelea Ukraine, siamini kama Putin anahitaji kuua wananchi wake ili apate excuse ya kuitandika Kiev mazima.
Wengine wanasema hawa ni Mossad wamempiga tukio Putin baada ya kuonesha kuwa yuko upande wa Palestine. Mara oooh, hawa ni CIA wanataka Putin ajichanganye pale Ukraine ili USA na wapambe wake wa NATO waingie mazima, kwa faida ya nani!?
Yaani hili tukio linafanya iwe vigumu kutofautisha stori za kutunga, propaganda na ukweli.
 
Kwanza Han na Uyghur ni ethnic mbili tofauti.

Hilo neno wachina limebebwa na Han.

Hayo mambo ya Hui achana nayo maana hata wao mara nyingi tu wanakosana na serikali ya Beijing.

Unataka kubisha kuwa Xinjiang na Afghanistan hazijapakana ?

Na unataka kubisha kuwa hakuwepo terrorism Xinjiang hasa miaka ya 2000 ?
Na mimi ndio nilichoongea, kwamba ni Ethnicity tofauti,

Afghanistan hao Taliban ni kikundi tu cha kikabila kinachotetea Wa Pashtun huko kwao kama vile Unavyoona Ughuyr na wao wanatetea Ethnicity yao, Taliban hana time na kundi lolote la kiisilamu kama vile unavyoona Ughuyr nao hawana muunganiko na waisilamu wengine.

Ughuyr wanapata support toka kwa Waturuki wenzao ndio maana unaona kina Ozil, Erdogan na watu mbalimbali wenye asili ya Uturuki wapo active kuwasemea, same kwa Afghanistan support yao kubwa inatoka Pakistan kwenye kabila lao.

Kutupiga Kamba kwamba Ughuyr na Taliban wanashirikiana katafute watoto wenzako uwapige kamba.

Taliban ni ally wa China sasa hivi na juzi juzi tu hapa walikua wanashirkiana kuwa piga Pini Ughuyr.

 
Back
Top Bottom