Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!

Mtu anaenda kuuwa watu wasio na hatia, halafu anajiita super power, akishiriana na rafiki zake, cha ajabu kwa mateso na mauwaji wanayopitia wapalestina miaka zaidi ya 70 ila hatujawahi kusikia ISIS au ALQAIDA wameingia kulipua Israel
 
Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!
Yaani hata mi nashangaa..inaelekea akili ziliwarudi baada ya kufanya tukio.
 
Chukua na hii mnadanganya vijana wa 2004 kwamba peponi watapata bikra 72 na kufanya ngono bila kuvhoka matokeo yake
Mnavituma vifanye fujo kisa bikra 72
View: https://twitter.com/GeromanAT/status/1771436020560511241?t=uqoilZBd1xqELVb_pL_IIg&s=19
 
Yaani hata mi nashangaa..inaelekea akili ziliwarudi baada ya kufanya tukio.
Hili tukio linanipa maswali mengi sana aisee, ISIS wamepiga tukio ambalo nikiangalia video za utekelezaji wa tukio, na hivi wanavyokamatwa kizembe naona kama mazingaombwe fulani hivi. Kuna speculations kuwa huenda Ukraine amehusika katika hili tukio, najiuliza Ukraine wanapata nini katika utekelezaji wa tukio kama hili?
Wengine wanaenda mbali kusema huenda Russia wenyewe wamepiga hili tukio ili kupata sababu ya kutumia nguvu kubwa zaidi za kijeshi kumaliza operesheni inayoendelea Ukraine, siamini kama Putin anahitaji kuua wananchi wake ili apate excuse ya kuitandika Kiev mazima.
Wengine wanasema hawa ni Mossad wamempiga tukio Putin baada ya kuonesha kuwa yuko upande wa Palestine. Mara oooh, hawa ni CIA wanataka Putin ajichanganye pale Ukraine ili USA na wapambe wake wa NATO waingie mazima, kwa faida ya nani!?
Yaani hili tukio linafanya iwe vigumu kutofautisha stori za kutunga, propaganda na ukweli.
 
Na mimi ndio nilichoongea, kwamba ni Ethnicity tofauti,

Afghanistan hao Taliban ni kikundi tu cha kikabila kinachotetea Wa Pashtun huko kwao kama vile Unavyoona Ughuyr na wao wanatetea Ethnicity yao, Taliban hana time na kundi lolote la kiisilamu kama vile unavyoona Ughuyr nao hawana muunganiko na waisilamu wengine.

Ughuyr wanapata support toka kwa Waturuki wenzao ndio maana unaona kina Ozil, Erdogan na watu mbalimbali wenye asili ya Uturuki wapo active kuwasemea, same kwa Afghanistan support yao kubwa inatoka Pakistan kwenye kabila lao.

Kutupiga Kamba kwamba Ughuyr na Taliban wanashirikiana katafute watoto wenzako uwapige kamba.

Taliban ni ally wa China sasa hivi na juzi juzi tu hapa walikua wanashirkiana kuwa piga Pini Ughuyr.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…