Urusi wakiri kupokea kichapo Kharkiv, huku wananchi wa Ukraine wakijitokeza kufanya usafi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi.......
==========================
AA11GtDQ.img

CHUHUIV, Ukraine — After months on the edge of Russian occupation, and two days of heavy bombardment, residents of this beleaguered town came out Saturday to clean up — and celebrate, as a fast-moving Ukrainian counteroffensive pushed Russian forces into a stunning retreat from key strategic areas in the northeast Kharkiv region.

As the advancing Ukrainian troops regained lost territory with shocking speed, liberating the town of Balakliya and raising their blue-and-yellow flag over the city of Izyum, jubilant Ukrainians and officials in Kyiv and Western capitals indulged in a daring hope: maybe the grinding, stalemated war was swinging their way.

“Everything is going to be Ukrainian again,” cried Natalia Khubezhova, 48, who was one of dozens of festive residents of Chuhuiv out sweeping up glass and repairing doorways on the village hospital, which was struck by a rocket Friday. Tears ran from her eyes as she hailed the progress of Ukrainian soldiers, including her husband and son.
“We are all ready to go into battle!” she said, brandishing her broom.

The Russian Defense Ministry on Saturday confirmed that it had pulled forces out of Balakliya and Izyum, after a decision to “regroup” and transfer them toward the regional capital of Donetsk in the south “in order to achieve the goals of the special military operation.”

MSN
 
Putin Bomu lake analotegemea ni winter tuu ,ndicho kabakisha
 
jeshi la kyiv lilipo fika izyum kuna wazee wakaz walikuja kuwapokea kwa furaha huku wanalia
mzee mmoja alimzaba kofi askari wa ukraine [emoji1255] akimlaumu kwa kuchelewa kuja kuwakomboa.
na hapa nanukuu
‘’ TUmekaa miezi saba sasa sisi na watoto wetu tunawasubiri muje kutukomboa mlikua wapi miezi yote hii next time msichelewe tena.’’
 
Sasahivi wanajeshi wa Ukraine wapo km 10 kufikia uwanja wa ndege wa mji wa Donetsk kuukomboa....naona Ukrainian army wako Moto Sana wiki hizi 3 ni mwendo wa kukomboa Miji Yao Tu,ni ushindi mkubwa Sana huu

halafu wakisha komboa wanamuachia germany [emoji629] anategua mabomu halaf jesh linaendelea kusonga mbele.
HATUNA muda wa kupoteza mzigo unatakiwa kufika Crimea kabla haujapoa.
 
Aaah!! Kumbe mjerumani ndiyo mtaalamu wa haya mambo..
 
Mwisho wa siku mtakuja kurukaruka humu kama maharagwe kumbe ndiyo kuiva kwenu.

Sijui huwa mnawaza kiakili kwa kutumia nini ninyi mizukule ya NATO [emoji848][emoji1]
 
Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi.......
==========================
AA11GtDQ.img

CHUHUIV, Ukraine — After months on the edge of Russian occupation, and two days of heavy bombardment, residents of this beleaguered town came out Saturday to clean up — and celebrate, as a fast-moving Ukrainian counteroffensive pushed Russian forces into a stunning retreat from key strategic areas in the northeast Kharkiv region.

As the advancing Ukrainian troops regained lost territory with shocking speed, liberating the town of Balakliya and raising their blue-and-yellow flag over the city of Izyum, jubilant Ukrainians and officials in Kyiv and Western capitals indulged in a daring hope: maybe the grinding, stalemated war was swinging their way.

“Everything is going to be Ukrainian again,” cried Natalia Khubezhova, 48, who was one of dozens of festive residents of Chuhuiv out sweeping up glass and repairing doorways on the village hospital, which was struck by a rocket Friday. Tears ran from her eyes as she hailed the progress of Ukrainian soldiers, including her husband and son.
“We are all ready to go into battle!” she said, brandishing her broom.

The Russian Defense Ministry on Saturday confirmed that it had pulled forces out of Balakliya and Izyum, after a decision to “regroup” and transfer them toward the regional capital of Donetsk in the south “in order to achieve the goals of the special military operation.”

MSN
Najiskia furaha sana hizi ni habari njema sana, jana naangalia CNN urusi anaongeza jeshi jengine jipya Kharkiv ni wazi askari wa Russia wanauliwa kama nzega Ukrean wanamashambulizi matamu sana, wanakuruhusu uingie katika mji na upachike bendera yako kwamba umeuteka mji kumbe mtu wangu kuna kuja counteroffensive ya nguvu mnauliwa kama kuku., halafu uzuri kwamba jeshi la Urusi wanazijua chochoro za miji yote, mgeni lazima aumbuke
 
Kiufupi Ukraine hamna vita ni usanii tu unaendelea kuleta maisha magumu duniani adhma yao itimie, yaani nchi vita miezi zaidi ya saba majengo bado yanasimama, yaani hao wafanya usafi wote utumbo ingekuwa nje na land mine, umeme unawaka,maji yanatoka,nk ukitaka kujua vita serious angalia Alepo, Benghazi, nk
 
bado huijui vita , muvi zimekupoteza , sio kila sehem watu upigana , kweny vita sio kila sehem inakuwa tough fight grounds
 
Kiufupi Ukraine hamna vita ni usanii tu unaendelea kuleta maisha magumu duniani adhma yao itimie, yaani nchi vita miezi zaidi ya saba majengo bado yanasimama, yaani hao wafanya usafi wote utumbo ingekuwa nje na land mine, umeme unawaka,maji yanatoka,nk ukitaka kujua vita serious angalia Alepo, Benghazi, nk
Ukraine Kuna Ant-Aircraft Systems,Stingers na Man Pads za Kutosha. Kwahiyo usitegemee ndege za Urusi zitapita juu ya Anga la Ukraine Kama zinavyofanya Kule Syria(Alepo). Mizinga inayopigwa na Urusi kwenda Ukraine Ni Long Range Missiles Kama Iskander na zingine kutoka kwenye Meli. Hizo huwa zinapiga Potential targets tu. Kabla Ukraine hajapata hizi Ant-Aircraft Urusi aliuchakaza mji wa Mariupol mpaka 60% ya Majengo yakaangushwa.
 
Huyu Russia mbona simuelewi huo u superpower wake, mbona dg zele anamsumbua hivyo
PATA NA HII

Ukraine's rapid gains stun Russia​

By Hugo Bachega, BBC News, Kyiv
Ukraine's rapid progress seems to have stunned Russia. The Kremlin says its troops are regrouping, but pictures from some liberated areas in the Kharkiv region suggest a hasty departure by the invading forces, with military vehicles, ammunition, and equipment left behind.
If the gains are confirmed - and if they hold - it's the most significant change on the frontlines since Russian troops left the Kyiv region five months ago. The extraordinary advance would mark a humiliating setback for Russia, and be a boost to Ukraine's position that it can push the Russians out while asking for more Western weapons.
President Zelensky has talked about a possible breakthrough, suggesting that more advances could happen before winter. But the country still faces huge challenges. Around a fifth of it remains under occupation and, in the south, Ukrainian troops have reportedly faced more resistance in their offensive, as Russia has fortified its positions.
Ukraine feels it has the momentum, and is pushing forward. But questions remain about how far it can go.
 
Ukraine imesema imekamata mateka wengi kiasi kwamba wanapungukiwa vyumba vya kuwahifadhi: Namshauri Putin aanze juhudi za kuwanunua mateka wake

Ukrainian military intelligence said Russian troops were surrendering en masse. A Ukrainian presidential adviser said there were so many prisoners of war that the country was running out of space to accommodate them
 
Back
Top Bottom