4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwahiyo Urusi kuua wananchi wa Ukraine ( raia wa nchi jiran tena anawaua kwenye nchi yao ) ni sawa ila Wanajeshi wa Ukraine kutumia satellite nchini kwao sio sawa ? Hv huko shulen mliishia kuelewa nin sasa ? mbona ubongo mdg hv ? sidhani kama somo la Uraia ulipata hata zaid ya DHajampangia mtu, muwe mnaelewa logic behind, satellite hizo ni kwa matumizi ya civilian sio ya kijeshi, sasa unapotumia civilian satellite kwa matumizi ya kivita unaufanya hiyo satellite iwe legitimate target.
Na hicho ndicho alichomaanisha, hajampangia mtu cha kufanya, ila kaonya incase akailipua muwe mnajua kabisa sababu.
Ubaya ni kuwa uwezo wa kuiharibu hiyo Starlink anao.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app