Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Keshakuwa mandonga tu huyo maneno mengi vitendo sifuriPutin ana vituko sana anaenda kwenye vita alafu anampangia adui wake jinsi ya kupigana vita yeye alipue satellite aache vitisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshakuwa mandonga tu huyo maneno mengi vitendo sifuriPutin ana vituko sana anaenda kwenye vita alafu anampangia adui wake jinsi ya kupigana vita yeye alipue satellite aache vitisho
Aharibu sasa,maneno mengi ya nini? Yale yale ya ngumi za utotoni unaomba wakushike usipigane,wakiacha kukushika unaishia kukimbia mwenyewe.Hajampangia mtu, muwe mnaelewa logic behind, satellite hizo ni kwa matumizi ya civilian sio ya kijeshi, sasa unapotumia civilian satellite kwa matumizi ya kivita unaufanya hiyo satellite iwe legitimate target.
Na hicho ndicho alichomaanisha, hajampangia mtu cha kufanya, ila kaonya incase akailipua muwe mnajua kabisa sababu.
Ubaya ni kuwa uwezo wa kuiharibu hiyo Starlink anao.
Urusi hawako tofauti na Mandonga.Warusi sasa hivi wamejaa matamko
Mwenye macho aambiwi tazama mlisema ataichukua Ukraine kwa siku tatu Leo ni mwezi wa kumi na kwenda December kwenye maisha usichukulie mambo kirahisi rahisi ndo tatizo lakoUna nafasi bado yakuendelea kujifunza! Jifungie fanya utafiti wa kutosha juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine utapata majibu.
Ukiona nchi 30 zinaungana kukwamisha alafu bado upo ngangali we ni wa kutumainiwa! Russia hajawah kuwaza kuichukua Ukraine! Alishawasihi sana Rais Zelesky kuwa asiegemee upande wowote na asije akawaza kukalibisha adui maana nayeye atakuwa adui wa Russia.Mwenye macho aambiwi tazama mlisema ataichukua Ukraine kwa siku tatu Leo ni mwezi wa kumi na kwenda December kwenye maisha usichukulie mambo kirahisi rahisi ndo tatizo lako
Dogo una ubongo mdogo sana.. Wapi Russia wamekataza Ukraine wasitumie satellite? Sisi tumetoa angalizo ya kuwa satellite za kiraia na kibiashara zikitumika kijeshi, zinaingia rasmi kwenye our target. Hilo ni warning. Kazi kwenukwahiyo Urusi kuua wananchi wa Ukraine ( raia wa nchi jiran tena anawaua kwenye nchi yao ) ni sawa ila Wanajeshi wa Ukraine kutumia satellite nchini kwao sio sawa ? Hv huko shulen mliishia kuelewa nin sasa ? mbona ubongo mdg hv ? sidhani kama somo la Uraia ulipata hata zaid ya D
Kwa hiyo wewe unatoa angalizo ukiwa Mkuranga,unadhani basi hata Zelensiky anajua kuwa upo unaishi Duniani kweli?Dogo una ubongo mdogo sana.. Wapi Russia wamekataza Ukraine wasitumie satellite? Sisi tumetoa angalizo ya kuwa satellite za kiraia na kibiashara zikitumika kijeshi, zinaingia rasmi kwenye our target. Hilo ni warning. Kazi kwenu
Putin analalamika anasema mbona mmemchangia? ugomvi ni kwa mmoja kwa mmoja.Mwenye macho aambiwi tazama mlisema ataichukua Ukraine kwa siku tatu Leo ni mwezi wa kumi na kwenda December kwenye maisha usichukulie mambo kirahisi rahisi ndo tatizo lako
Putin kwishney..... He has very limited options.... navyoona mimi avute majeshi yake nyumbani - akae mezani wazungumze kisha asaidie kuijenga Ukraine mpya.warusi wamechora mistari myekundu 1200 halafu wanaonya olewake taifa litakalo vuka hio mistar yote litakutana na matokeo wasio yatarajia.
hahah
dogo satellite inatumika Ukraine , ww wa urusi ina kuuma nin ? kwan satellite yako nan anakupangia kutumia ? mbona wao wanaua wapinzan kuna mtu kaangaika nao ? Usisapoti uchiz utajivika wasifa usio wakoDogo una ubongo mdogo sana.. Wapi Russia wamekataza Ukraine wasitumie satellite? Sisi tumetoa angalizo ya kuwa satellite za kiraia na kibiashara zikitumika kijeshi, zinaingia rasmi kwenye our target. Hilo ni warning. Kazi kwenu
Na wasiwasi na uwezo wako kufikiria hayo maeneo mapya ya urusi hayatarudi milele UkrainePutin kwishney..... He has very limited options.... navyoona mimi avute majeshi yake nyumbani - akae mezani wazungumze kisha asaidie kuijenga Ukraine mpya.
Hataki watu wanaingia hadi Crimea.
Tajiri wa kihaya.Huyo Elon Mask ndio nani tena?