URUSI waonya kuwa watazidungua Satelaiti za Elon Mask

kwahiyo Urusi kuua wananchi wa Ukraine ( raia wa nchi jiran tena anawaua kwenye nchi yao ) ni sawa ila Wanajeshi wa Ukraine kutumia satellite nchini kwao sio sawa ? Hv huko shulen mliishia kuelewa nin sasa ? mbona ubongo mdg hv ? sidhani kama somo la Uraia ulipata hata zaid ya D
 
vichaa mpo weng , Kuua waukraine kwenye nchi yao ni ustaarabu ? kuimega jimbo la Crimea ni ustaarabu ? kuitisha kura ambazo hata umoja wa mataifa hawaujui na kuwashikia mitutu raia ili wapige kura ya kujiunga na URUSI ni ustaarabu ? kulenga mabomu kwenye makaz ya watu na sio kamb za jeshi ni ustaarabu ? kutaka kumtoa madarakan rais aliyechaguliwa na raia kwa kura zilizo huru na wazi ni ustaarabu ? Na sasa anatanganza kulipua mfumo wa satellite usio nchini mwake wala hau hudumii wapinzan wake nchini mwake , sasa satellite ya Ukraine inamuhusu nin ? jifunzen kufungua akili zenu ushabiki unawatia UCHIZ ipo siku mtakuja kuona upuuz wenu huu baada ya vita kuisha
 
Hana uwezo huo
 
ila sheria zinaruhusu kulipua mabomu raia si ndio ? Hizo sheria zinaruhusu kupora majimbo ya watu bila kuitisha kura umoja wa mataifa ? je ni ruhusa kuvamia nchi jirani bila bunge la Urusi kukubali uvamiz ? au ni ruhusa kuwakamata vijana mtaani na kuwapeleka front wakafe kwa vita uliyoianzisha kwa kuiita operation ya kulinda majimbo yasiyo ya nchi yako , USITUMIE JINA " USTADH " maana unalitia doa ya ugaidi kwa kusapoti kwako ugaid wa Putin
 
punguza kulialia mtoto wa kiume... huyo ndo Putin mara zote anatangulia kuonya kabla hajamyoosha mtu..
 
Ni mambo ya ajabu sana Kuna ujinga anaofanya Putin hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza muelewa

Tatizo Putin aliamin ataichukua Ukraine kirahisi kama alivyochukua Crimea na kama angefanikiwa Ukraine asingeishia hapo angeenda maldova na poland
 
Sheria iyo iyo amabayo. Ilikataza wasilipue maeneo ya watu na Russia amelipua
 
Urusi kaongea aongei tena kitakachofatia ni vitendo.
Ujumbe huu ni kwa Musk, na umemuingia . ..

Soma:
“warning that the country may consider these types of satellites to be legitimate military targets.”

may be considered a legitimate target for a retaliatory strike,”he warned.”

“to prevent a “full-scale arms race in space.””
 
Ni mambo ya ajabu sana Kuna ujinga anaofanya Putin hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza muelewa

Tatizo Putin aliamin ataichukua Ukraine kirahisi kama alivyochukua Crimea na kama angefanikiwa Ukraine asingeishia hapo angeenda maldova na poland
Una nafasi bado yakuendelea kujifunza! Jifungie fanya utafiti wa kutosha juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine utapata majibu.
 
Babu Putin ameshaonywa,ajaribu sasa kulipua hata antenna kwenye hizo commercial satellites aone cha mtema kuni

[emoji298]️USA will respond in case of Russian attack on commercial satellites, — White House

US National Security Council representative John Kirby said that any attack on US infrastructure would be met with an equal response.

Nanukuu "equal response".
 
Yeye anavyolipua maghorofa/majengo ni kukosa targets au nayo yapo vitani.propaganda za madikteta zinachekesha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…