bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Jeshi la Urusi,
Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta (fuel Depot) jumamosi.
Wazili waulinzi wa Urusi alisema eneo hilo lilikuwa likihudumia majeshi y Ukraine eneo la Ukraine Magharibi pia Karibu na kiyv.
Urusi pia wanadai kuharibu karakana ya Eneo la matengenezo ya kituo Cha Radio (Lviv Radio repair plant), ambacho kinatoa huduma ya Mawasiliano ya Radar kwa vikosi vya UKRAINE (vifaru na jeshi la anga).
Hi ilikuwa mda mfupi baada ya Raisi Biden kumuita Putin "butcher" na nukuu yake yakutaka Putin atoke madarakani.