Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Putin angekuwa ni muungwana angekubali tu kushindwa.
vita vya maneno nato mko vizuri [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin angekuwa ni muungwana angekubali tu kushindwa.
Jeshi la Urusi,
Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta (fuel Depot) jumamosi.
Wazili waulinzi wa Urusi alisema eneo hilo lilikuwa likihudumia majeshi y Ukraine eneo la Ukraine Magharibi pia Karibu na kiyv.
Urusi pia wanadai kuharibu karakana ya Eneo la matengenezo ya kituo Cha Radio (Lviv Radio repair plant), ambacho kinatoa huduma ya Mawasiliano ya Radar kwa vikosi vya UKRAINE (vifaru na jeshi la anga).
Hi ilikuwa mda mfupi baada ya Raisi Biden kumuita Putin "butcher" na nukuu yake yakutaka Putin atoke madarakani.
View attachment 2167170View attachment 2167171View attachment 2167172View attachment 2167173
Aiseee [emoji16][emoji119]Inasemekana kuwa Urusi wamelipua vinu vya mafuta katika mji ulio karibu na Poland wakati Biden akifanya ziara nchini humo.
Ulipuaji huu ni salamu ya kebehi kuwa Urusi ana uwezo wa kurusha bomu karibu kabisa na Poland na katika muda ambao ulinzi wa USA umeimarishwa.
kama wangeamua kulipua eneo la mkutano wangeweza ila wameonesha ustaarabu tu.
Putin akubali vipi kushindwa wakati Ukraine Ni Kama ipo mikononi mwake anafanya anachotakaPutin angekuwa ni muungwana angekubali tu kushindwa.
KashakubaliPutin angekuwa ni muungwana angekubali tu kushindwa.
Putin akubali vipi kushindwa wakati Ukraine Ni Kama ipo mikononi mwake anafanya anachotaka
Vikwazo Russia pia kaviweka kwahyo hamn maajabu Biden angekuwa mmbabe angekuja Ukraine kabisaNani kaonesha dharau kwa mwenzake Kati ya US na Urusi? Marekani kaweka vikwazo Urusi bado akaamua kutembelea Poland tena mpakani Ukraine bila wasiwasi? Huku akiendesha mikutano ya hadhara na kuacha US yake bila wasiwasi wowote? Akiwa hapohapo jirani anaamua kutuma mizinga 1500 Ukraine? jingalao achana ujinga ktk nchi kama hizi za uchumi wa kati chini.
Sisi tukiamka asubuhi ni CCM, CDM, ACT na Mrema kuoa. Nothing more. Wenzetu ni tofauti.
Biden angekuwa mwanaume kweli angeingia Poland Urusi Hana ugomvi na Poland ila akitaka yeye na Baba ake US waingie joining form ipoPro Putin mnatafuta mahali pakufichia aibu inayowakuta Ukraine kama yeye ni mwanaume kweli angepiga moja kwa moja ndani ya ardhi ya Poland halafu ndio angejua kuwa hajui.
Teka na utangaze ushindi, hizo mambo za kuharibu ni utoto we can think unatumia siraha zilizokuwa karibu kuexpire.Urusi anachakaza nchi kwanza
Nani alikwambia Urusi wanataka kuchukua Ukraine?
Kwani Biden yupo ukraine mkuu.Pro putin sijui wanafikilia kwa kutumia nini, yaani nikajua kulipua poland, yaani mtu kalipua karibu na poland then wanajisifu, yaani ni sawa na Tz ikalipue kagera ili kuichokoza Uganda 😂😂
Halafu kuna mtu anasema Biden ni mbabe kuliko putin. Yaani tunabishana kwamba huwezi kuvamia, nimevamia napiga nachapa umefika karibu kuleta umbea napiga hapo hapo. Sasa mbabe naniunafanya mazungumzo na aliyekuvamia ndan kwako ? ni akili ni matope ? uhai bila uhuru ni sawa na kifo , ndio maana waafrika tulitawaliwa kirahisi sisi tunajali kuishi tu haijalish ktk mazingira gan