KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwa hiyo nawe unachochea kuni?Inasemekana kuwa Urusi wamelipua vinu vya mafuta katika mji ulio karibu na Poland wakati Biden akifanya ziara nchini humo.
Ulipuaji huu ni salamu ya kebehi kuwa Urusi ana uwezo wa kurusha bomu karibu kabisa na Poland na katika muda ambao ulinzi wa USA umeimarishwa.
kama wangeamua kulipua eneo la mkutano wangeweza ila wameonesha ustaarabu tu.
Ulisikia lakini Biden anataka "Regime change"; sasa hapo sijui atafanyaje akamfurumishe Putin, kama alivyofurumishwa Gaddafi!
Mchezo mchezo ndivyo uanzavyo hivi, mara PUUU, jamaa wanalipua dunia nzima, wakiwemo na akina 'Jingalao' wasiokuwa na habari kabisa na ugomvi wa hawa jamaa!