Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Jambo kubwa hili boss. Si mazoezi tu, Ni mazoezi dhidi ya maangamizi ya ulimwengu. Russia kujaribu nuklia Ni hatari coz si NATO Wala us atavumilia watApigana na tutakwisha
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Bora kabisa ipigwe Vita iishe la sivyo wataendelea kumsumbua mrusi
241b07e2-cc8b-4518-81b8-3ceb234d2d85.jpg
 
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kumdhibiti , ndo mana sa hv wamemwacha

Nahisi labda walikuwepo wanamuachia afanye maujinga yake tu, akaona labda wanamuogopa, kumbe walikua wanamfanyia timing tu...
 
Mpak mazoezi tunahabarishwa ....!! Si unapiga tuu
Wacheza mpira hua wanafanya mazoezi kila siku nje ya uwanja wa mpira kwani siku ya mechi hua wakiingia uwanja hua wanabutua tu si wanapasha kwa misuli joto
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Sio kwamba anazo siraha za nyuklia tu na bado yeye ndio kunara wa sihara za nyuklia ndio nchi yenye siraha nyingi zaidi dunia za nyuklia na mfumo imara wa anga
 
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
Umri wako inawezekana ulipaswa kuwa darasan ila kwa sababu za jeuri upo mtaani
 
Kwani hayo mazoezi walikua bado hawajaanzaga tu mpk leo?
Nyuklia sio suala la kukulupukia ndugu na halifanyiwi mazoezi hovyo hovyo kitendo cha wewe kufanya tu mazoezi ni tangazo tosha kwa adui na hata asiekua adui yako kuwa yuko hatari maana kufanya mazoezi ni kama kuhatarisha usalama wa mwingine ndo maana muda wote huwa hawafanyi mazoezi ya hizo siraha we mwangalie north korea kitendo kufanya tu mzoezi tayari akaanza kusakamwa na vitisho vya USA
 
Wacheza mpira hua wanafanya mazoezi kila siku nje ya uwanja wa mpira kwani siku ya mechi hua wakiingia uwanja hua wanabutua tu si wanapasha kwa misuli joto

Sio kwamba anazo siraha za nyuklia tu na bado yeye ndio kunara wa sihara za nyuklia ndio nchi yenye siraha nyingi zaidi dunia za nyuklia na mfumo imara wa anga

Asante, embu nielimishe mkuu, niliona mahali humu ..wanasema tulime vitu vyetu Tanzania/Africa sababu hii vita italeta njaa huko kwa wanaopigana hivyo tutapewapelekea huko , ama tuki import vyakula vyao vitakua na mionzi hivyo sio salama kuvila, je yakipigwa hayo mabomu ya Nyuklia si dunia nzima inakua affected mfumo wa hewa, maji au???? je haiwezekani mabomu ya Nyuklia yakapigwa huko Marekani halafu bado Tanzania tukaathirika na hizo Nyuklia hata kama hatupo kwenye eneo la vita? usinicheke eti..
 
Back
Top Bottom