Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
- Thread starter
- #21
Inategemea yatatumika kwa kiasi kipi kama urusi ikitumia kwa ukraine inaweza kubadili hali kutoka urusi vs ukraine kuwa WW3 vita ya tatu ya dunia na urusi imeapa yoyote atakajaribu kuingia pua atajibiwa kwa nyuklia yakitokea haya lazima athari zitafika mpaka huku afrika maana nyuklia itatumika kwa kiasi kikubwa lakini kama urusi ataipiga ukraine pekee na nyuklia athari haziwezi kufika huku afrika labla kama njaa na nyingine mfano uchumi kuyumba kwani kwa dunia ina mhitaji urusi kuliko urusi anavo hitaji dunia maana akitumia nyuklia ataongezewa vikwazo ambayo vitatuathiri mpaka sisi waafrika kuhusu chakula kitakua vizuri tu endapo haitazuka WW3 mbali na hapo mjipange maana vita haina macho kwa kifupi sisi hatuathiriki kwa chochote na hiyo nyuklia mpaka itakapotumika kwa wingi lakini itaacha madhara kwa ukraine na hata baadhi ya nchi alizopakana nazo inategemea na umbali gani litakapo angushiwa hilo bomuAsante, embu nielimishe mkuu, niliona mahali humu ..wanasema tulime vitu vyetu Tanzania/Africa sababu hii vita italeta njaa huko kwa wanaopigana hivyo tutapewapelekea huko , ama tuki import vyakula vyao vitakua na mionzi hivyo sio salama kuvila, je yakipigwa hayo mabomu ya Nyuklia si dunia nzima inakua affected mfumo wa hewa, maji au???? haiwezekani mabomu ya Nyuklia yakapigwa huko Marekani halafu bado Tanzania tukaathirika na hizo Nyuklia hata kama hatupo kwenye eneo la vita? usinicheke eti..