Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Huyo aliye reply post yako inaonyesha hakuna anachokijuwa kuhusu nyuklia.Kama umenisoma previous posst mimi mambo ya Nyuklia siyajui vizuri, Mkuu fulani hapo juu kaniambia tatizo sio Nyuklia chache, bali ikiwa nyingi kwenye vita ndio wote duniani hatuko salama,
Wakati marekani anaipiga Japan na nyuklia 1945 Fat boy na Little boy zilikuwa ni silaha ndogo sana kiuwezo/capability ukilinganisha na hizi za leo.Hizo nyuklia za wakati huo uzito wake haukuzid hata kg 50.
But today silaha zina hata megaton 1000 na kuendelea.Kwa mfano silaha la Urusi inayoitwa Sartan 1 ina weka ku flat Ufaransa yote ndani ya muda mfupi.