mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Kama vita inspiganwa huko lakini Tz kila kitu kimepanda na huko hakuna total ban ya exports ya bidhaa je bomu likipigwa kusiwe kuna utoaji wa bidhaa huko Tanzania itakuwaje. Huu ndo wajati wa Tz kuuza ndege zake na kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji maana vita ikishakolea tutaziweka packing na hakutakuwa na wakuzinunua maisha yatakuwa magumu zidi ya hapa maana mwaka huu hakuna mavuno yakutoshaUmeelewa swali lkn?Nimeuliza bomb Hilo likipigwa Ukraine Ni madhara gani Tz itayapata?