Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Ujinga Tu , Kwani hizo nuclear war heads anazo yeye Tu ? au Kwa akili yako fupi kama kisoda unafikiri akijaribu kuzitumia mataifa mengine yatamwacha Tu na kumwangalia au sio ?
Russia anajua kabisa akibonyeza kitufe tu, watu nao wanakiwasha. Kumbuka mwezi march kama sio April mwanzoni, UK alisema wapo tayari kupeleka nuclear poland/sweden endapo Russia akiendelea na tambo za nuclear dhidi ya ukraine.
 
Mataifa yenye Nuclear Arsenal kubwa duniani ni Urusi na Marekani, Urusi akiwa ni kiranja wa Ligi.Marekani na Urusi walisha sign mikata mbalimbali kwa lengo la kupunguza Arsenal zao lakini baada ya muda walishindwa kuendelea na mkataba wao.Waliwahi ku sign INF(intermediate Nuclear forces) lakini alipoiingia Trump alivuruga mkataba.Sasa hawa miamba kila mmoja kwa wakati wake huwa anaboresha namna ya ku deliver nyuklia kwa adui yake.Urusi ana kitu ambacho kinasababisha Nyuklia tsunami.Hii ngoma kama itapigwa Uingereza basi kwisha habari zake
Ila US, UK, France hawana hizo mashine za kuipoteza Russia? Unajua efficiency ya silaha za westerns na europe? Umewahi kuwasikia wakifanya military parade wakishow off silaha zao kama Russia? Achana na nchi za ulaya mkuu.
 
ni wapuuzi tu ndio watakaoshabikia vita
Wanazania hii simba na yanga mtu anasema zipigwe tena vita yenyewe ya NUCLEAR wakati jana nasikia yule swalha kapigwa risasi basi wabongo kwa sifa wanajiona watakatifu kuanza kushushia lawama leo hii wanashangia vita bei zikipanda lawama zinaenda kwa samia
 
Asante, embu nielimishe mkuu, niliona mahali humu ..wanasema tulime vitu vyetu Tanzania/Africa sababu hii vita italeta njaa huko kwa wanaopigana hivyo tutapewapelekea huko , ama tuki import vyakula vyao vitakua na mionzi hivyo sio salama kuvila, je yakipigwa hayo mabomu ya Nyuklia si dunia nzima inakua affected mfumo wa hewa, maji au???? je haiwezekani mabomu ya Nyuklia yakapigwa huko Marekani halafu bado Tanzania tukaathirika na hizo Nyuklia hata kama hatupo kwenye eneo la vita? usinicheke eti..
wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
 
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
Mara moja tuliambiwa aneka vinu vya nuclear sawa, sasa mwezi 4, hana issue huyu mzee wa ndaro wacha na yeye atibuliwe kidogo huko Moscow
 
Mara moja tuliambiwa aneka vinu vya nuclear sawa, sasa mwezi 4, hana issue huyu mzee wa ndaro wacha na yeye atibuliwe kidogo huko Moscow
Usijari ni suala la muda tu tusubiri tuone itakuaje
 
Ila US, UK, France hawana hizo mashine za kuipoteza Russia? Unajua efficiency ya silaha za westerns na europe? Umewahi kuwasikia wakifanya military parade wakishow off silaha zao kama Russia? Achana na nchi za
Kila nchi inafanya showoff labda kwa kuwa haufuatilii haya mambo.Kwa mujibu wa Wikipedia ebu jaribu kutoa tongotongo kidogo alafu rudi tujadili
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-110517_Chrome.jpg
    Screenshot_20220602-110517_Chrome.jpg
    561.3 KB · Views: 10
Usijari ni suala la muda tu tusubiri tuone itakuaje
Unasubiri nini yeye hizo roket tokea vita inaanza alikuwanazo anatumia kuua raia Ukraine sasa wenzake wanataka kupiga kazi yeye anatayarisha nuclear, mulimpaisha sana Putin sasa aibu fedheha
 
Kama vita inspiganwa huko lakini Tz kila kitu kimepanda na huko hakuna total ban ya exports ya bidhaa je bomu likipigwa kusiwe kuna utoaji wa bidhaa huko Tanzania itakuwaje. Huu ndo wajati wa Tz kuuza ndege zake na kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji maana vita ikishakolea tutaziweka packing na hakutakuwa na wakuzinunua maisha yatakuwa magumu zidi ya hapa maana mwaka huu hakuna mavuno yakutosha
Ni kweli ndio maana hata south africa shirika lake wameliuza. Saiv ili la tz linajiendesha kihasara sasa ikitokea tena hao jamaa kufumuliana nuke ndo zitaozea viwanjani bora wauze wabaki na chache za kupiga rout hapa hapa na nchi jirani.
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
🤣🤣🤣🤣🤣 Umenifanya nicheke sana R.. ladies huwa mnafuatilia tu mambo soft.. haya machumachuma huwa hamnaga info.
 
Mna akili za kimahaba sana, watu wenye uelewa wanabaki kuwasoma na kuona vile mlivyo na mahaba na russia. Unazungumzia nato kuiengage moja kwa moja ukraine kuwa hawawezi kutokana na uimara wa russia. Sijui ni hujui historia au vipi, kwani russia hajawahi kutoa msaada kwa mataifa ambayo US na allies wake waliwahi kuvamia? Kuna vita ya tatu ya dunia ilitokea? Sasa russia ni nani mpaka alete hiyo vita ya dunia? Sio russia huyu huyu alosema nchi yoyote ambayo ikiisaidia Ukraine itafutwa ktk uso wa dunia, nchi ngapi zinaisaidia ukraine, tena nchi ambazo yeye amepakana nazo kabisa, hili pia hulijui? Hakuna vita ya tatu inaweza iktokea kisa mpuuzi mmoja kama putin atake vita itokee.
Naona unaongea sana kwa msisistizo..wewe ni nani hasa mpaka hayo unayowaza yatimie?
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
Waarabu kwasababu ya religious extremism mataifa makubwa hayataki wawe na nuclear weapons maana akitokea mwendawazimu mmoja anaweza kusababisha maafa.

Israel anazo nuclear tangu mwaka 1966 lakini hata walipovamiwa mwaka 1973 kwenye Yom kippur na kuwa kwenye hali ya hatari sana bado hawakutumia nuclear.
 
wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
Mwenzenu basi naona kabisaa Putin is ready to go that far..
 
Waarabu kwasababu ya religious extremism mataifa makubwa hayataki wawe na nuclear weapons maana akitokea mwendawazimu mmoja anaweza kusababisha maafa.

Israel anazo nuclear tangu mwaka 1966 lakini hata walipovamiwa mwaka 1973 kwenye Yom kippur na kuwa kwenye hali ya hatari sana bado hawakutumia nuclear.

Ni kweli religious extremists wangetumaliza mkuu..ila na huyo Putin sijaona tofauti yake na hao..lol
 
Back
Top Bottom