Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Hakuna mwanadamu mwenye uthubutu huo, dunia imekuwepo kwa maelfu ya miaka na bado itakuwepo kwa maelfu mbeleni.wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
Only creator of the earth can.
Who is Putin bwana? Hizo nuclear anazotishia si kitu. Bado kuna mfululizo wa gunduzi za silaha za maangamizi bora kuliko nuclear ambazo dunia itashuhudia zikitengenezwa hata baada ya kizazi chetu kupita lakini zitaishia kukaa ghalani.
Putin akae kwa kutulia.