Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Nuclear ndo kete ya mwisho ya Putin ukitoa nuklia urusi inakuwa haina tofauti na Belarus urusi n nuklia tu zaidi ya hapo n propaganda tu
kiongozi una uhakika na unacho kiongea RUSSIA unamjua vizuri kweli wewe rudi ukaangalie WW2 vita ya pili ya dunia halafu uje uangalie na kauli yako
 
Anaweza ndo maan eneo lote la mashariki mwa Ukraine ni Russia Sasa hivi mfano sea of azor ni ya Russia forever.
Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.
 
This is nonsense Kule Ukraine Warusi wanaendelea kuchukua maeneo wakati kuna NATO wanatoa mpaka silaha hii inaonesha urusi sio mchezo.

Nadhani ni Timing tu mkuu, wanamzoom Putin,wanajua kapinda ..ndio maana wana delay hio vita nadhani hata wenyewe US wamechelewa kupeleka silaha Ukraine ili hii vita iendelee mbele kidogo,halafu wamshughulikie Putin..hapo kasha reveal ana SATAN, sijui one and two, hapo ni kudukuana sasa kwa kwenda mbele, nchi zote ni kudukuana kujua utaalamu wa silaha za nchi nyingine....kaazi kweli kweli, by the way mtu anaita SATAN, silaha zake hafu mniambie huyo sio shetani mwenyewe...ngumu kuamini..lol
 
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
Hamna kitu. Hawawezi pigana vita vya nuclear. Wao wenyewe wanaogopa.
 
Nadhani ni Timing tu mkuu, wanamzoom Putin,wanajua kapinda ..ndio maana wana delay hio vita nadhani hata wenyewe US wamechelewa kupeleka silaha Ukraine ili hii vita iendelee mbele kidogo,halafu wamshughulikie Putin..hapo kasha reveal ana SATAN, sijui one and two, hapo ni kudukuana sasa kwa kwenda mbele, nchi zote ni kudukuana kujua utaalamu wa silaha za nchi nyingine....kaazi kweli kweli, by the way mtu anaita SATAN, silaha zake hafu mniambie huyo sio shetani mwenyewe...ngumu kuamini..lol
Nikupe kionjo kwa nini RUSSIA ana kiburi hata kama wakimzoom ili waje wampe putin kipigo bado hawata weza ukiipiga URUSSIA ujue unaitafuta CHINA NORTH KOREA IRAN nchi karibu zote za FALME ZA KIARABU alafu mbaya zaidi USA na NATO wana maadui wengi mfano IRAN na IRAQ wanataka kulipa kisasi kwa sababu USA ilimuua SADDAM hapo hapo ikamuua SOLEYMAN kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi IRAN kitu ambacho IRAN alisema ipo siku atajibu kwa nyuklia USA na NATO endapo zitampiga urusi zitakua ni sawa na mafuta kwenye moto kwani wana maadui wengi haya yote wameyataka wenyewe kipindi cha nyuma walikua wanaonea sana watu sasa hizo nchi zinataka kulipa kisasi endapo ataipiga rusia lazima atawekeza nguvu zote kwa rusia hilo litakua kosa kwao pia itakua faida kwa maadui zake kwani watampa shambulio la kushitukiza ndo maana mpaka sasa NATO na USA wanaangalia tu hatii mguu maana wakiingiza mguu tu watapigwa vibaya maana wana maadui wengi mfano NORTH KOREA IRAN IRAQ alafu zote hizo zina nyuklia bado maadui kibao ndo maana USA anaiogopa RUSSIA na kamwe usije ukafikiria kwamba putin atashindwa hii vita hata tramp alimwambia biden. putin is smart he is smart. asitegemee kufua dafu yeye wala hao washirika wake NATO kama anataka yaishe heri wakae mezani na sio kuingia vitani.
 
Nikupe kionjo kwa nini RUSSIA ana kiburi hata kama wakimzoom ili waje wampe putin kipigo bado hawata weza ukiipiga URUSSIA ujue unaitafuta CHINA NORTH KOREA IRAN nchi karibu zote za FALME ZA KIARABU alafu mbaya zaidi USA na NATO wana maadui wengi mfano IRAN na IRAQ wanataka kulipa kisasi kwa sababu USA ilimuua SADDAN hapo hapo ikamuua SOLEYMAN kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi IRAN kitu ambacho IRAN alisema ipo siku atajibu kwa nyuklia USA na NATO endapo zitampiga urusi zitakua ni sawa na mafuta kwenye moto kwani wana maadui wengi haya yote wameyataka wenyewe kipindi cha nyuma walikua wanaonea sana watu sasa hizo nchi zinataka kulipa kisasi endapo ataipiga rusia lazima atawekeza nguvu zote kwa rusia hilo litakua kosa kwao pia itakua faida kwa maadui zake kwani watampa shambulio la kushitukiza ndo maana mpaka sasa NATO na USA wanaangalia tu hatii mguu maana wakiingiza mguu tu watapigwa vibaya maana wana maadui wengi mfano NORTH KOREA IRAN IRAQ alafu zote hizo zina nyuklia bado maadui kibao ndo maana USA anaiogopa RUSSIA na kamwe usije ukafikiria kwamba putin atashindwa hii vita hata tramp alimwambia biden. putin is smart he is smart. asitegemee kufua dafu yeye wala hao washirika wake NATO kama anataka yaishe heri wakae mezani na sio kuingia vitani.
Teh teh eti North Korea,Iran sijui na taka taka gani ndio ziende kumsaidia Urusi,kwanza huko Urusi watafika kwa njia gani?
 
Teh teh eti North Korea,Iran sijui na taka taka gani ndio ziende kumsaidia Urusi,kwanza huko Urusi watafika kwa njia gani?
Haina haja ya kwenda Urusi watamsaidia tu wanajua wao jinsi ya kumsaidia usichokijua ni kwamba urusi anawashirika wengi sema wako kwa siri sana wengine wapo mpaka ndani ya NATO hii kijasusi ungesema Double agent sasa ni kwamba hakuna wa kumtisha urusi labla USA angekuepo trump na sio biden kwa sababu trump anajua putin na anaijua vita lakini sio biden hawezi kufua dafu mbele ya urus
 
Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.
Marekani Akituma Nuclear Ukraine ndo itakuwa mwisho wake.
 
Urusi ikitaka inaangamiza marekani Kwa dakika chache
Subiri wakushambulie na waanze kusema kwani ni Marekani tu itaangamia, muda huo Russia atakuwa na hali gani.

Hapa umeongea ukweli mchungu sana lakini kutokana na upofu na mahaba team NATO hawataki kusikia lakini kenge mpaka atoke damu sikioni ndio anasikia.

Russia sio wapumbavu kutamani vita ya nuclear huku akijua maisha ya watu wake yapo hatarini lakini wamejipanga Sana kujilinda na wametengeneza shelter zenye uimara wa kuhimili mlipuko mkubwa Sana na shelters hizo zinaweza kuwahifadhi warusi wote.
 
Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.
Unasumbuliwa na ushabiki maandazi, badala ya uhalisia.
 
Mkuu wewe unafikiri nuklia ikiangushwa Ukraine au Russia na sisi huku tutakufa? Hamna kitu kama hicho, sisi huku tuendelee tu kugonga wali maharage full bata. Wacha bei zipande tu ipo siku zitashuka
Duh umenikumbusha br. Napenda Sana kiporo Cha wali maharage. Aisee Ni kitamu zaidi ya ki -shi- mo Cha asali
 
Subiri wakushambulie na waanze kusema kwani ni Marekani tu itaangamia, muda huo Russia atakuwa na hali gani.

Hapa umeongea ukweli mchungu sana lakini kutokana na upofu na mahaba team NATO hawataki kusikia lakini kenge mpaka atoke damu sikioni ndio anasikia.

Russia sio wapumbavu kutamani vita ya nuclear huku akijua maisha ya watu wake yapo hatarini lakini wamejipanga Sana kujilinda na wametengeneza shelter zenye uimara wa kuhimili mlipuko mkubwa Sana na shelters hizo zinaweza kuwahifadhi warusi wote.
Ndiyo.
 
Back
Top Bottom