Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Lakini ameongea kitu cha msingi, sio kwamba wenzake hawajui kwamba Russia ana hizo Nyuklia...Mmatumbi unasema akitumia fresh tu![]()
![]()
![]()
kupigina na mrusi ni sawa na kupigana na mtu asiye na nguvu.... mawe, kinyesi, bisibisi, pilipili, upupu yaani chochote atatumia ili akuumize.
Marekani alienda Libya, je walivunja majengo na uharibifu kama huu?
Marekani alienda Iraq, je walivunja majengo na miundombinu na kushambulia hovyo wakati watu wakiwemo ndani ya majengo?
Je ni nini kinafanya Urusi kushambulia chochote kilichopo mbele yao? uwonga, kukosa mbinu, kutumia silaha za kizamani zisizo na shabaha, ama ni ujeuri tu ailionao Putin.
Je unafikiri Dunia nzima itamwacha Putin afanya anavyotaka? au yeye Putin kaamua kuangamiza binadamu sababu tayari yeye ana miaka 70 na hana cha kupoteza tena ?
Think twice.
Hapo mkuu nilipobold, wengine wanasema ana Cancer..(sijui kama ni kweli), labda kaona siku zake za kuishi hapa duniani ni chache,kaona aondoke na sisi... 🤣 ...ombea usiingie vita na mtu asiye na cha kupoteza...