Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 363
- 267
Yaani Marekani ni tatizo kubwa dunianiRussia Today ikifungiwa ni sawa ila DW ikifungiwa sio sawa...
Madhalimu wana run hii dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Marekani ni tatizo kubwa dunianiRussia Today ikifungiwa ni sawa ila DW ikifungiwa sio sawa...
Madhalimu wana run hii dunia
Channel yangu pendwa.RT anakula sahani moja na hao wakina CNN hadi kuna baadhi ya watangazaji wa CNN kawavuta na idhaa yake ya kiingereza imeanza kujulikana na watu wengi wa magharibi......wakichoka propaganda za wakina BBC na CNN wanahamia huko kupata ukweli wa mambo