Urusi yafunga Ofisi za DW kulipiza kisasi kwa Ujerumani

RT anakula sahani moja na hao wakina CNN hadi kuna baadhi ya watangazaji wa CNN kawavuta na idhaa yake ya kiingereza imeanza kujulikana na watu wengi wa magharibi......wakichoka propaganda za wakina BBC na CNN wanahamia huko kupata ukweli wa mambo
Channel yangu pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…