Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake.

Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma" uvamizi wa Ukraine wa kuvuka mpaka katika eneo la Kursk magharibi - shambulio la kushtukiza sasa katika siku yake ya nne.

Wizara ya ulinzi ya Urusi ilisema Ukraine ilipoteza zaidi ya wanajeshi 280 katika muda wa saa 24 zilizopita - madai ambayo hayajathibitishwa na duru huru.
---
Russia's military has said it is "continuing to repel" a Ukrainian cross-border incursion into the western Kursk region - a surprise attack now in its fourth day.

The Russian defence ministry said Ukraine lost more than 280 military personnel in the past 24 hours - a claim that has not been independently verified.

Reports suggest that Ukrainian troops are operating more than 10km (six miles) inside Russia - the deepest cross-border advance by Kyiv since Moscow launched a full-scale invasion in February 2022.

Ukraine has not openly admitted the incursion, but President Volodymyr Zelensky said on Thursday that Moscow must "feel" the consequences for its invasion.

Meanwhile, 12 people have been killed and at least 44 injured in a Russian strike on a shopping centre in the Ukrainian town of Kostiantynivka, close to the frontline in Donetsk region, Ukraine's Interior Ministry says.

Residential buildings, shops and more than a dozen cars were also damaged in the attack.

News of the strike came hours after Ukraine's military said it had hit a military airfield deep inside Russia overnight, destroying a warehouse containing hundreds of glide bombs.

The targeting of the Lipetsk air base, more than 350km (217 miles) from Ukraine's border, is the kind of operation Kyiv has been wanting to do for some time.

These are the very tools that Russia has continually terrorised Ukrainian towns, cities and military positions with for most of its invasion.

The military's statement also said the airfield was known for housing Russia's Su-34, Su-35 and MiG-31 war planes.

Lipetsk's regional authorities said a state of emergency was now in place in the area, confirming the detonations at an "energy infrastructure facility". Residents of four nearby villages were being evacuated.
In a statement on Tuesday, the Russian defence ministry said its forces were repelling "an attempt by the Ukrainian armed forces to invade the territory of the Russian Federation".

It said Russia was using aviation and artillery, managing to suppress "raid attempts by enemy units".
Earlier on Tuesday, a "federal state of emergency" was declared in the Kursk region - a move that underlines how grave the current situation is.

Russia said that up to 1,000 Ukrainian troops, supported by tanks and armoured vehicles, entered the Kursk region on Tuesday morning.

Despite the deployment of reserve troops and orders to evacuate, Russia has been unable to slow the momentum of this Ukrainian advance.

This is more than the probing attacks we have seen in the past. Hundreds of soldiers with armoured vehicles are thought to have made it up to 10km into Russian territory.

It is a committed assault which has shocked Russia’s military and the Kremlin. For the last 18 months it has been Moscow dictating the dynamics of this war.

Now it is having to both contain this attack as well as domestic criticisms for not preventing it in the first place.
Despite long-time Western worries of an escalation, the consensus among Ukraine’s allies is that this operation falls within its right to defend itself.

While he is yet to directly reference the assault, President Zelensky said in a video address late on Thursday: “Russia has brought the war to our land and should feel what it has done.”

But with his Ukrainian forces still outnumbered by the Russians on the battlefield, the line between masterstroke and miscalculation is a fine one.

BBC
 
Ukraine hawana akili
Wanaweza kuikalia kursk hata kwa muda wa week moja
Wanajitutumua ila kama kula kwao ishakula tu hakuna namna.
.,
Screenshot_20240809-190341.png
Screenshot_20240809-190341.png


View: https://x.com/WarWatchs/status/1821867702274638271


Watu washa anza kufurushwa uko wana kimbia kurudi kwao

Screenshot_20240809-190341.png
.,
 
Hatari sana aisee, ukiangalia mazingira yalivyo safi unagundua hapo wanaishi raia wenye akili timamu, barabara haina viraka wala mashimo yaani imenyooka kama ruler.
Ukiuliza hiyo barabara utaambiwa hata imejengwa miaka ya 80.
Inashangaza sana mkuu
 
Kuna namna wazungu wameshamzoea Putin na vitisho vyake vya Nuclear, au wanamtaka Putin achukue uamuzi fulani wa hasira ili wapate sababu.
Wapate sababu Gani zaidi?
Wakati waukraine wanakufa kama nzige na miji inazidi kuchukuliwa?

Kuna sababu zaidi ya hizo?
Hebu acheni kuwaza kama watoto.
 
Kuna namna wazungu wameshamzoea Putin na vitisho vyake vya Nuclear, au wanamtaka Putin achukue uamuzi fulani wa hasira ili wapate sababu.
Wapate sababu yakufanya nini mzee eti?😀
Wazungu wanachotaka RUSSIA wakurupuke ila mwenzao anawa out Smart wanavyotaka afanye wao yeye hafanyi
Kama kutafuta sababu ili wampige hilo suala liondoe hakuna mpuuzi atakae taka sababu ili aingie vitani na RUSSIA labda tu kama RUSSIA atawashambulia wao hapa hawatakua na hoja
 
Wapate sababu Gani zaidi?
Wakati waukraine wanakufa kama nzige na miji inazidi kuchukuliwa?

Kuna sababu zaidi ya hizo?
Hebu acheni kuwaza kama watoto.
Bora useme wewe
Kwakuwakumbusha tu RUSSIA hata atumie nyuklia pale Ukraine hakuna watalomfanya
 
Si atumie basi anasubiri nini..
Nyuklia wanatumia walioelemewa kwenye uwanja wa mapambano mfano wa alivyofanya Americant pale JAPAN
RUSSIA kila kitu kinamwendea sawa NYUKLIA yanini 😀
Ila RUSSIA akili kubwa kawafungulia front nyengine UKRAINE kule upande wa BELARUS
RUSSIA wakumpiga ni RUSSIA mwenyewe tu
 
Upepo kwa sasa upo upande wa ukraine. Ndio sababu hata vyombo vyao vya habari(magharibi) vinatangaza sana.
Ila watajuta.
 
Back
Top Bottom