Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Urusi imezuia matumizi ya huduma ya ujumbe ya WhatsApp ikidai kampuni hiyo imekiuka sheria za nchi, huku wananchi wakihimizwa kuhamia kwenye jukwaa mbadala linaloungwa mkono na serikali, hatua inayotafsiriwa na wengi kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza wakati wa vita vya Ukraine.
Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov, alitangaza uamuzi huo Alhamisi akisema WhatsApp imekuwa ikikaidi kufuata matakwa na masharti ya sheria za Urusi.
Peskov aliwashauri Warusi kutumia jukwaa la MAX, mfumo unaodhaminiwa na serikali unaojitangaza kama jukwaa la huduma nyingi ikiwemo ujumbe, huduma za serikali mtandaoni na malipo.
Hata hivyo, wataalamu wameonya kuwa MAX haitumii mfumo wa usimbaji wa mwisho hadi mwisho unaolinda faragha ya mawasiliano kama ilivyo kwa WhatsApp. Pia jukwaa hilo linaeleza wazi kuwa linaweza kushirikisha taarifa za watumiaji na mamlaka pale litakapohitajika, hali inayowaacha watumiaji katika hatari ya kufuatiliwa na serikali.
=====================================
Russia has blocked messaging service WhatsApp over alleged legal breaches, urging users to switch to a state-backed alternative in what is widely seen as a bid to clamp down on free speech amid the war in Ukraine.
Kremlin spokesperson Dmitry Peskov announced the move on Thursday, attributing it to WhatsApp’s “reluctance to comply with the norms and letter of Russian law”
He advised Russians to turn instead to MAX, a state-sponsored platform touted as a one-stop shop for messaging, online government services and other services like making payments.
Experts warn that MAX, which openly declares it will share user data with authorities upon request, does not use the end-to-end encryption that ensures messages remain private on popular services like WhatsApp, leaving users vulnerable to state snooping.
Source: Aljazeera, CNN