Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

ngoja nifatilie hiyo kesi, simu anayotumia hajawashtaki ? 😁

Simu hajaishitaki. Simu ikiisha chaji ina ukomo.

Kashtaki ma Tik Tok na ma Insta na ma You Tube shorts. Kasema hayana ukomo.

Ukianza ku scroll vi clip vinaweza ku scroll mpaka kesho jioni. Na kesi mahakamani katoboa.

Sembuse wangemdukua wakati wameahidi hawadukuliki. Angewafilisi mahakamani.

Sasa tuna dada mmoja Mbunge Waziri kasema TCRA inaweza kudukua.

Hatuna hata formula ya resho ya zege la mwendokasi, tumeita Mchina, tunawezaje kudukua Whatsapp ???

Huyu bidada ni kituko cha dunia.


Eti wale waandamanaji, wafia nchi na wapinga mfumo, walioazisha maasi kutokea Kimara Mwisho na Ubungo Kibo, yakasambaa nchi nzima, wakachoma vituo vya kura na ofisi za CCM, eti wale watu walimchagua huyu shangazi kuwa mbunge wao jimbo la Ubungo kabla ya saa tano asubuhi !!!

Mnadhani sisi ni ma Chimpanzee na mazezeta kiasi gani ?
 
Russia ni nchi yenye bahati mbaya ya kuendeshwa kiimla kwa takriban karne nzima sasa.

Tawala zao za kiimla toka zama za dikteta Vladimir Lenin hadi leo hii dikteta mwingine Vladimir Putin hawako tayari kuona mtu akiwa na mawazo tofauti na ya kwao. Wanataka fikra za watu zifanane kama karatasi za A4.

Sasa hiyo hulka ya udikteta ndio sababu inayoifanya Russia pamoja na kuwa na ardhi kubwa kuliko mataifa yote duniani na rasilimali lukuki lakini bado haiwezi kuwa kinara wa uchumi duniani hata ifanyeje.
Hata Marekani mwenyewe dikteta amejificha ndani ya vazi la KUTETEA DEMOKRASIA DUNIANI, ila mpk uwe open minded ndo utaelewa
 
hivi wakuu end to end encryption ni kweli ipo au lugha za biashara tu?

1775804521691.png


encrypted message za whatsapp matatani
 
Back
Top Bottom