Juzijuzi ilivuma kuwa WhatsApp si salama sanahivi wakuu end to end encryption ni kweli ipo au lugha za biashara tu?
mi hua namashaka sana , hata zile options za kukubali kitu labda yes / no hawawezi wakawa wanabadilisha function? yani mbele pale ni no ila backend ni yes?Juzijuzi ilivuma kuwa WhatsApp si salama sana
Muhimu ni kuwa makini, usijiaminishe asilimia 100mi hua namashaka sana , hata zile options za kukubali kitu labda yes / no hawawezi wakawa wanabadilisha function? yani mbele pale ni no ila backend ni yes?
hivi wakuu end to end encryption ni kweli ipo au lugha za biashara tu?
Upigaji tuhivi wakuu end to end encryption ni kweli ipo au lugha za biashara tu?
Your phone is a spy device,kua muangalifu sana.hivi wakuu end to end encryption ni kweli ipo au lugha za biashara tu?
Ata ikiwa mashaka yako ni ya kweli sasa utaifanya nini kwa nchi kama marekani..mi hua namashaka sana , hata zile options za kukubali kitu labda yes / no hawawezi wakawa wanabadilisha function? yani mbele pale ni no ila backend ni yes?
Uongo mtupu. Haya mkorokoro ni sehemu ya uharifu wa nchi za magharibi ndio maana mataifa mengi yanajilinda kama marekani yanavyojilinda na Tiktok.Ukiishitaki kampuni ya Ulaya kwamba jamani nimedukuliwa wakati tangazo lao linasema hawadukuliki, unalala kapuku unaamka dollar bilionea.
Wana uhakika kwa sasa duniani hakuna tehama ya kudukua encryption.
Kuna binti ameshinda mamilioni ya madola wiki iliyopita kwa kuzishtaki TIK TOK, SNAPCHAT, INSTA, META, YOUTUBE kwamba zimempa uraibu. Ukiwa una pembua makurasa - una scroll up ma page ya social media unaweza ku scrol mpaka asubuhi, hayana ukomo. Yamemharibu anadai. Na kashinda.
Sembuse udukuliwe wakati wamejitangaza hawadukuliki ?????
hata hapa nchini tu sina la kufanya mkuu 😁Ata ikiwa mashaka yako ni ya kweli sasa utaifanya nini kwa nchi kama marekani..
naunga mkonoYour phone is a spy device,kua muangalifu sana.
hatari sanaUpigaji tu
Daily wana tudukua
ngoja nifatilie hiyo kesi, simu anayotumia hajawashtaki ? 😁Ukiishitaki kampuni ya Ulaya kwamba jamani nimedukuliwa wakati tangazo lao linasema hawadukuliki, unalala kapuku unaamka dollar bilionea.
Wana uhakika kwa sasa duniani hakuna tehama ya kudukua encryption.
Kuna binti ameshinda mamilioni ya madola wiki iliyopita kwa kuzishtaki TIK TOK, SNAPCHAT, INSTA, META, YOUTUBE kwamba zimempa uraibu. Ukiwa una pembua makurasa - una scroll up ma page ya social media unaweza ku scrol mpaka asubuhi, hayana ukomo. Yamemharibu anadai. Na kashinda.
Sembuse udukuliwe wakati wamejitangaza hawadukuliki ?????
Sababu zinafanya kazi na serikali zao bega kwa bega. Kama kuna apps zinaweza kusoma taarifa zako kutoka ktk hizo apps zingine unawezaje kuamini hiyo huduma ya privacy?Nimekumbuka miaka ya 2008/9 kipindi hiko blackberry inatamba, balackberry ilikuwa na huduma yake maarufu ya blackberry messenger ambayo ilikuwa na encryption na server zilikuwa Canada..
Nchi nyingi duniani wakawa wana shindwa ku decrypt BBM(blackberry messenger), blackberry ndio ma pioneer kwenye mobile encryption, miaka ya 2005 kipindi watu wamezoea SMS na calls ambazo ilikuwa easy kwa serikali kukufuatilia, Blackberry wanakuja na BBM halafu kuna encryption....
Gulf states huko uarabuni waliipiga sana vita tokana na vyombo vya usalama kushindwa kusoma messages za watumiaji, ilikuwa mshike mshike na vuta nikuvute..
Kipindi hiko ndipo nasikia watu wanasema blackberry ipo secured sana na huwezi kui hack, ina security ya juu, kumbe suala lilikuwa ni encryption kwenye BBM..
Kuna baadhi ya nchi walipiga marufuku matumizi ya BBM ....
Huduma ya encryption kwa miaka ile lilikuwa pigo kwa serikali nyingi ambazo zilizoea kufuatilia privacy za wananchi wake, wana chat nini na kuongea nini...
Sasa sijafuatilia miaka hii , mbona sasa kuna apps zenye encryption za hali ya juu na serikali duniani hazipigi marufuku, je walikuja kubadili sheria za kimataifa kuhusu privacy za mtumiaji..? au serikali zimepewa decryption keys za watumiaji?
Maana blackberry miaka ile ilipigwa vita sana... ila sasa sioni serikali zikipiga marufuku Apps kama signal, whatsapp n.k
Haya mamtandao walio yagundua au kuyatengeneza ni hao hao wazunguJuzijuzi ilivuma kuwa WhatsApp si salama sana
Tunahitaji kujifunza zaidi kufahamuHaya mamtandao walio yagundua au kuyatengeneza ni hao hao wazungu
Sasa inakuwaje washindwe kuyadukua au kuingilia private za wadau ?