Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

19 people, including nine volunteers with the armed forces, were killed in two attacks in jihadist-torn Burkina Faso, local inhabitants and a security source said on Monday.

VOA, February 13 2023
 
Warejee yaliyo mfika komredi Samora Moses Machel![emoji24][emoji24][emoji24]
 
Armed jihadists stormed a camp housing refugees from neighbouring Mali in western Niger and killed 9 people, a local official said. The attack took place on Wednesday at a camp in the Tahoua region bordering jihadist-hit Mali, a local official said.

AFP, February 4 2023
 
Wameacha kupinduana? Maana huko kila mwanajeshi ana ndoto ya kuwa Rais wa nchi.
Nachoweza kusema ni kuwa Africa magharibi soon watatuacha pakubwa kimaendeleo.
Tuachane na gonjera za misaada ya USAid ni upuuzi mtupu. Heko west Africa
 
we mbwiga acha uongo
 
Waulize waliohaha mimi sio mfuasi wa misaada na kutumainia watu.Wazungu wa magharibi hutumia misaada vibaya.
 
Duuh wew kwako cha maana ni misaada kumbe
 
Tuanze sisi kwanza, kitu gani cha faida Afrika imeifanyia Urusi tangu Dunia ianze???Hizi tabia za kuona sisi tunapaswa kufanyiwa tuuuuu..ndo vinapelekea tunaendelea kuwa watumwa kwenye nchi zetu wenyewe

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Na hiyo misaada ife..ili tupate akili..tujitafutie mali zetu....tujitawale na kujisimamia wenyewe

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba warger group wanatoa ulinzi lakini pia mrusi nae ni mporaji wa Mali za Africa kupitia mikataba yao na nchi husika, mfano pale sudani kwa aliekuwa omary Bashir mwanzilishi wa warger group na kampuni yake ndo wanunuzi wakuu wa dhahabu yote inayozalishwa pale kwa kushirikiana na baadhi ya watu ndani ya serikali hii Iko hivyo hivyo pia CAR, Mpaka Sasa ivi umoja wa mataifa wapo kwenye uchunguzi mzito kuhusu urusi juu ya warger group na vitendo vyao vya kihalifu hapa Africa, na kama unafuatilia mambo warger group kwa nchi za kiafrica wapo kwenye nchi zenye utawala mbovu wa kutofuata Sheria, Katiba, democrasia na pia mapinduzi ya kijeshi kuanzia Syria, mali, Niger ,Burkinafaso ,Libya, sudani, na CAR kwa ushirikiano wa Rwanda na pia hapo msumbiji kumbuka wale wako kimaslah zaidi na wanavuna mabilion ya pesa hapa africa
 
Vita vyote vya kumtoa mkoloni Africa ili nchi iwe huru mrusi ameshiriki, kuanzia Algeria, Angola, South Africa, Zimbabwe nk.. ulitaka wakufanyie nini? Wakupikie ugali?
 
Afadhali Mrusi analeta amani na ananunua dhahabu..wamagharibi wanapora na kuanzisha Vita vinavyoua watu wengi sana..watu wa upinde bana na kuwatetea mabwana zao 🚮
 
Wewe kwenye nchi yako isio yakisoshalist mmeizidi nini RUSSIA

DEMOKRASIA yenu hii mnayoiabudu nimfumo wautawala wahovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa hapa DUNIANI

RUSSIA kamatia hapo hapo tunajua sio kwamba unaipenda saaana hio AFRIKA yetu ila wacha tu tujaribu ladha ya mkoloni mpya tuone itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kitu gani mlishawahi kumfanyia RUSSIA chamaana

Mnapenda kufanyiwa tu kujifanyia wenyewe hamuwezi

Hii DUNIA kwasasa watu wanaangalia WIN WIN situation

Nyie kaeni tu hapo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora waache kabisa wasipunguze

Mutategemea kupewa mpaka lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SYRIA ipi na LIBYA gani

PMC ya wagner haina kosa lolote hao US na shost zake wanaona wamepigwa over take ndio wanaanzisha upuuzi wao

Kwanza waijadili PMC mozrat halaf tutaungana nao kuijadilia hii PMC wagner halaf wakamalizane na kundi ka black water kama sijakosea jina

PMC wapewe ulinzi wanaifanya DUNIA kua na balance itakiwayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…