Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warejee yaliyo mfika komredi Samora Moses Machel![emoji24][emoji24][emoji24]Usifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Nachoweza kusema ni kuwa Africa magharibi soon watatuacha pakubwa kimaendeleo.
Tuachane na gonjera za misaada ya USAid ni upuuzi mtupu. Heko west Africa
we mbwiga acha uongoUsifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Waulize waliohaha mimi sio mfuasi wa misaada na kutumainia watu.Wazungu wa magharibi hutumia misaada vibaya.mbona hapa kipindi cha jpm misaada mingi ilipoanza tu kupunguzwa mlikuwa mna hahahaaa!!na kama hadi sasa angekuwepo cjui ingekuwaje?yqqni mshindwe kujitegemea kipindi kizuri mje kujitegemea wakati hakuna kitu kweli!??Huyo aliyekuwa ana kopa kwa siri akiwadanganya wananchi kuwa tunajitegemea.
Duuh wew kwako cha maana ni misaada kumbeMkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Uwe unakuja ukiwa umetuliza msambwanda.we mbwiga acha uongo
Ikifuatiwa na ubelgijiUfaransa ni gaidi mkubwa duniani
Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake
Tuanze sisi kwanza, kitu gani cha faida Afrika imeifanyia Urusi tangu Dunia ianze???Hizi tabia za kuona sisi tunapaswa kufanyiwa tuuuuu..ndo vinapelekea tunaendelea kuwa watumwa kwenye nchi zetu wenyewekitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Na hiyo misaada ife..ili tupate akili..tujitafutie mali zetu....tujitawale na kujisimamia wenyeweMkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Vita vyote vya kumtoa mkoloni Africa ili nchi iwe huru mrusi ameshiriki, kuanzia Algeria, Angola, South Africa, Zimbabwe nk.. ulitaka wakufanyie nini? Wakupikie ugali?Kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Afadhali Mrusi analeta amani na ananunua dhahabu..wamagharibi wanapora na kuanzisha Vita vinavyoua watu wengi sana..watu wa upinde bana na kuwatetea mabwana zao 🚮Pamoja na kwamba warger group wanatoa ulinzi lakini pia mrusi nae ni mporaji wa Mali za Africa kupitia mikataba yao na nchi husika, mfano pale sudani kwa aliekuwa omary Bashir mwanzilishi wa warger group na kampuni yake ndo wanunuzi wakuu wa dhahabu yote inayozalishwa pale kwa kushirikiana na baadhi ya watu ndani ya serikali hii Iko hivyo hivyo pia CAR, Mpaka Sasa ivi umoja wa mataifa wapo kwenye uchunguzi mzito kuhusu urusi juu ya warger group na vitendo vyao vya kihalifu hapa Africa, na kama unafuatilia mambo warger group kwa nchi za kiafrica wapo kwenye nchi zenye utawala mbovu wa kutofuata Sheria, Katiba, democrasia na pia mapinduzi ya kijeshi kuanzia Syria, mali, Niger ,Burkinafaso ,Libya, sudani, na CAR kwa ushirikiano wa Rwanda na pia hapo msumbiji kumbuka wale wako kimaslah zaidi na wanavuna mabilion ya pesa hapa africa
Wewe kwenye nchi yako isio yakisoshalist mmeizidi nini RUSSIAUsifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Nyie kitu gani mlishawahi kumfanyia RUSSIA chamaanaKitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Bora waache kabisa wasipunguzeMkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
SYRIA ipi na LIBYA ganiPamoja na kwamba warger group wanatoa ulinzi lakini pia mrusi nae ni mporaji wa Mali za Africa kupitia mikataba yao na nchi husika, mfano pale sudani kwa aliekuwa omary Bashir mwanzilishi wa warger group na kampuni yake ndo wanunuzi wakuu wa dhahabu yote inayozalishwa pale kwa kushirikiana na baadhi ya watu ndani ya serikali hii Iko hivyo hivyo pia CAR, Mpaka Sasa ivi umoja wa mataifa wapo kwenye uchunguzi mzito kuhusu urusi juu ya warger group na vitendo vyao vya kihalifu hapa Africa, na kama unafuatilia mambo warger group kwa nchi za kiafrica wapo kwenye nchi zenye utawala mbovu wa kutofuata Sheria, Katiba, democrasia na pia mapinduzi ya kijeshi kuanzia Syria, mali, Niger ,Burkinafaso ,Libya, sudani, na CAR kwa ushirikiano wa Rwanda na pia hapo msumbiji kumbuka wale wako kimaslah zaidi na wanavuna mabilion ya pesa hapa africa