Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

Kwa mfano urusi akiamua kushirikiana kijeshi na cuba au Mexico Marekani atafanyaje?wewe jua kwamba hizi nchi kubwa lazima zifanye kila kitu kutunza uwepo wao.kwa hiyo hata ikibidi nyie nchi ndogo mtapangiwa tu.mbona Marekani mwenyewe anawapangia majirani zake nani wa kushirikiana kijeshi?uhuru unamipaka yake.
Mbona Urusi ameshashirikiana na Cuba hadi Venezuela na Marekani wala hakuwahi kuzivamia!
 
Nyie mnapiga kelele huko Urusi mambo yanaenda kama kawaida.mmesahau kuwa mlimpa Urusi miezi sita tu atakuwa kwisha habari yake.

Vikwazo vimesababisha wagombane wao kwa wao.shoga wa dunia kamua kuficha dollar akajua itasaidia kumbe kashachelewa.biashara sasa zinafanyika kwa ela nyingine tofauti na dollar
Kwa mfano hela gani zinazofanya biashara?
 
ivi ufala na ufacken ni nini? nikusambaza habari ambazo ni 100% propaganda mchana kweupe, ni sawa na chizi mmoja kuamka kesho nakusema tanzania nzima hakuna maji ya kunywa shwaini mkubwa.
 
kwamba anaitetea dunia kwa kuivamia ukraine ? hv una akili timamu ? hv kati ya ukraine na russia nan ni htr kwa usañama wa dunia? Russia ana makolon na kavamia nchi nying tu je ukraine kafanya hivyo?
Marekani anatetea dunia?
 
Mbona picha zinajisema ni za mwaka 2011?
 
Ndiyo alivamiwa Ukraine kwa sababu ya NATO au Marekani ni wajinga wachache hawalioni hili.marekani anataka atawale ulimwengu mzima bila pingamizi lolote.kwa hiyo anatafuta namna ya kumdhoofisha urusi lakini ameshafeli ni wajinga wachache hawaoni kuwa hii ni proxy war Kati ya urusi na Marekani.
Hizi stori mnazodanganyana huko vijiwe vya kahawa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano urusi akiamua kushirikiana kijeshi na cuba au Mexico Marekani atafanyaje?wewe jua kwamba hizi nchi kubwa lazima zifanye kila kitu kutunza uwepo wao.kwa hiyo hata ikibidi nyie nchi ndogo mtapangiwa tu.mbona Marekani mwenyewe anawapangia majirani zake nani wa kushirikiana kijeshi?uhuru unamipaka yake.
Kwani urusi alivyoivamia Ukraine na kuchukua crimea nayo ni hii hi sababu ya kushirikiana na marekani

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwani urusi alivyoivamia Ukraine na kuchukua crimea nayo ni hii hi sababu ya kushirikiana na marekani

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu urusi alishaona nini Ukraine alikuwa anataka kufanya kwa hiyo akaanza kuchukua hatua kurudisha maeneo yake aliyompa ukraine.yake maeneo aliyochukua urusi ni maeneo yalikuwa wa urusi na yanamali sana kwa hiyo Marekani alikuwa ananyemelea utajiri huo.nataka wajinga waamke.
 
Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa......
Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa.


Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30kms outside Moscow

Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30km (18 miles) outside Moscow April 27, 2011. REUTERS/Alexander Natruskin/File photo Acquire Licensing Rights

  • Summary
  • Oil plants repairs, weaker rouble spark fuel crunch
  • Fuel wholesale prices jump, retail prices are capped
  • Government works to solve crisis by trying to curb exports
MOSCOW, Aug 31 (Reuters) - Russia, one of the world's biggest oil producers, has faced shortages of fuel crucial for gathering the harvest in some parts of its southern breadbasket and the situation may get worse in coming months, market sources told Reuters.

Traders said that the fuel market has been hit by a combination of different factors including maintenance at oil refineries, infrastructure bottlenecks on railways and the weaker rouble which incentivises fuel exports.

Russia has tried to tackle diesel and gasoline shortages over recent months, contemplating export curbs as the last-ditch attempt to prevent a serious fuel crisis - which is sensitive for the Kremlin ahead of a presidential election in March.

A government decision to cut subsidies for refineries is likely worsen the availability of fuel in the world's biggest grain exporter.

Regional oil product depots in Russia's southern regions have had to cut or even suspend fuel sales, while retail filling stations were forced to limit fuel sale volumes to customers.
Mbona ushainga maziwa makuu matatu yapo Africa yapo Tanzania lakini kuna shida ya maji mpaka keshokutwa??
 
Back
Top Bottom