Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Ramani ipi inaonyesha haya ni maeneo ya urusi ndani ya Ukraine? Kila taifa lingeamua kufanya upuuzi kama huo unaofanywa na urusi Kurdish maeneo yao dunia ingekalikaKwa sababu urusi alishaona nini Ukraine alikuwa anataka kufanya kwa hiyo akaanza kuchukua hatua kurudisha maeneo yake aliyompa ukraine.yake maeneo aliyochukua urusi ni maeneo yalikuwa wa urusi na yanamali sana kwa hiyo Marekani alikuwa ananyemelea utajiri huo.nataka wajinga waamke.
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app