Mbona Urusi ameshashirikiana na Cuba hadi Venezuela na Marekani wala hakuwahi kuzivamia!Kwa mfano urusi akiamua kushirikiana kijeshi na cuba au Mexico Marekani atafanyaje?wewe jua kwamba hizi nchi kubwa lazima zifanye kila kitu kutunza uwepo wao.kwa hiyo hata ikibidi nyie nchi ndogo mtapangiwa tu.mbona Marekani mwenyewe anawapangia majirani zake nani wa kushirikiana kijeshi?uhuru unamipaka yake.
Basi wanaotetewa ni wapumbavu! Kwa nini wasiungane?Kichaa tu anaweza kusema unachokisema.putin anatetea dunia nzima
Kwa mfano hela gani zinazofanya biashara?Nyie mnapiga kelele huko Urusi mambo yanaenda kama kawaida.mmesahau kuwa mlimpa Urusi miezi sita tu atakuwa kwisha habari yake.
Vikwazo vimesababisha wagombane wao kwa wao.shoga wa dunia kamua kuficha dollar akajua itasaidia kumbe kashachelewa.biashara sasa zinafanyika kwa ela nyingine tofauti na dollar
Unakumbuka cuba crisis?Mbona Urusi ameshashirikiana na Cuba hadi Venezuela na Marekani wala hakuwahi kuzivamia!
Alafu kuvamia sio mpaka mtu aje kwako.mtu anaweza kukupa vikwazo mpaka unateseka kuliko aliyevitani.Mbona Urusi ameshashirikiana na Cuba hadi Venezuela na Marekani wala hakuwahi kuzivamia!
Hapo sasa upo sawa. Russia angemuwekea vikwazo Ukraine, binafsi ningemuunga mkonoAlafu kuvamia sio mpaka mtu aje kwako.mtu anaweza kukupa vikwazo mpaka unateseka kuliko aliyevitani.
Marekani anatetea dunia?kwamba anaitetea dunia kwa kuivamia ukraine ? hv una akili timamu ? hv kati ya ukraine na russia nan ni htr kwa usañama wa dunia? Russia ana makolon na kavamia nchi nying tu je ukraine kafanya hivyo?
Brainwashed mind hiyo bloangu,🤣🤣🤣Kwamba wanazalisha mafuta alafu hapohapo wanauhaba wa mafuta kweli huna akili.
Kwani Ukraine imeifanyaje dunia? Maana Putin anaishambulia Ukraine sijui Ukraine imekosea nini duniaKichaa tu anaweza kusema unachokisema.putin anatetea dunia nzima
Hizi stori mnazodanganyana huko vijiwe vya kahawaNdiyo alivamiwa Ukraine kwa sababu ya NATO au Marekani ni wajinga wachache hawalioni hili.marekani anataka atawale ulimwengu mzima bila pingamizi lolote.kwa hiyo anatafuta namna ya kumdhoofisha urusi lakini ameshafeli ni wajinga wachache hawaoni kuwa hii ni proxy war Kati ya urusi na Marekani.
Kwani urusi alivyoivamia Ukraine na kuchukua crimea nayo ni hii hi sababu ya kushirikiana na marekaniKwa mfano urusi akiamua kushirikiana kijeshi na cuba au Mexico Marekani atafanyaje?wewe jua kwamba hizi nchi kubwa lazima zifanye kila kitu kutunza uwepo wao.kwa hiyo hata ikibidi nyie nchi ndogo mtapangiwa tu.mbona Marekani mwenyewe anawapangia majirani zake nani wa kushirikiana kijeshi?uhuru unamipaka yake.
Ni wajinga wachache tu hawataki kuona ukweliHizi stori mnazodanganyana huko vijiwe vya kahawa
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu urusi alishaona nini Ukraine alikuwa anataka kufanya kwa hiyo akaanza kuchukua hatua kurudisha maeneo yake aliyompa ukraine.yake maeneo aliyochukua urusi ni maeneo yalikuwa wa urusi na yanamali sana kwa hiyo Marekani alikuwa ananyemelea utajiri huo.nataka wajinga waamke.Kwani urusi alivyoivamia Ukraine na kuchukua crimea nayo ni hii hi sababu ya kushirikiana na marekani
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Amka wewe kutoka usingiziniHizi stori mnazodanganyana huko vijiwe vya kahawa
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Mbona ushainga maziwa makuu matatu yapo Africa yapo Tanzania lakini kuna shida ya maji mpaka keshokutwa??Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa......
Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa.
Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30km (18 miles) outside Moscow April 27, 2011. REUTERS/Alexander Natruskin/File photo Acquire Licensing Rights
MOSCOW, Aug 31 (Reuters) - Russia, one of the world's biggest oil producers, has faced shortages of fuel crucial for gathering the harvest in some parts of its southern breadbasket and the situation may get worse in coming months, market sources told Reuters.
- Summary
- Oil plants repairs, weaker rouble spark fuel crunch
- Fuel wholesale prices jump, retail prices are capped
- Government works to solve crisis by trying to curb exports
Traders said that the fuel market has been hit by a combination of different factors including maintenance at oil refineries, infrastructure bottlenecks on railways and the weaker rouble which incentivises fuel exports.
Russia has tried to tackle diesel and gasoline shortages over recent months, contemplating export curbs as the last-ditch attempt to prevent a serious fuel crisis - which is sensitive for the Kremlin ahead of a presidential election in March.
A government decision to cut subsidies for refineries is likely worsen the availability of fuel in the world's biggest grain exporter.
Regional oil product depots in Russia's southern regions have had to cut or even suspend fuel sales, while retail filling stations were forced to limit fuel sale volumes to customers.
Russia faces domestic fuel crunch, braces for more shortages
Russia, one of the world's biggest oil producers, has faced shortages of fuel crucial for gathering the harvest in some parts of its southern breadbasket and the situation may get worse in coming months, market sources told Reuters.www.reuters.com