Urusi yalaani shambulio la Israel huko Syria

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo Helicopter tatu za Marekani zimedondoshwa huko Syria

Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova:

The Israeli strikes against Syria are a flagrant violation of the country's sovereignty and international law.

The Russian Federation strongly condemns Israel's provocative and violent actions against Syria, which are fraught with dangerous consequences, she stressed.

t.me/ukraine_watch

Screenshot_20240330-165939~2.png
Screenshot_20240330-170339~2.png
IMG_20240330_170026.jpg
 
Bab al Mandab hapo wahuni wengi sana hapo.
 
Israel imeuziwa F-35 na spare engines, hizo haijapewa. Ipo kwenye program tangu 2008 na imeshiriki development costs na technical know how. Ila ni kwamba kabla Marekani haijauza silaha, serikali inatoa go ahead kwa kampuni. Ndicho serikali ya Biden imefanya.

Kwenye hizo MK82 na MK84 bombs sijui labda ndio wamepewa package bure. Kama wamenunua nazo zinapitia mlolongo uleule. Alafu Israel hajanunua silaha ambayo hajawahi nunua Marekani, hivyo clearance yake iliishatolewa na State Department au Congress hivyo kama ni kuongeza inventory inapitishwa kirahisi. Sababu ni kinyume cha mikataba, ninunue Toyota LC 2022 units kama 50, alafu baadae nitake kununua injini na gearbox unikatalie wakati tuliishakubaliana kwenye mkataba. Of course kwa mwingine yeyote Marekani anaweza kataa, kama ambavyo alimkatalia Uturuki kwa F-35. Au ambavyo aligoma kutoa supply kwa F-4 na F-5 fighter jets za Iran.

Muda mrefu Russian navy haijafanya power projection. Pacific fleet ni ya pili kwa ukubwa baada ya Northern fleet.

Marudio ya kulaani shambulizi lolote la Israel ni ya kawaida na Israel inayatarajia bila response kwa anayeyatoa. Iran ikiacha kupitisha silaha za magaidi Syria basi Israel itaacha kushambulia.
 
Good analysis 👍
 
Wewe ndiye unayezielewa na kuzichambua vizuri hizi siasa za migogoro ya Mashariki ya kati, kuliko wengine wamekaa kubwabwaja kwa mihemuko ya kidini na propaganda zao mashudu.
 
Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo Helicopter tatu za Marekani zimedondoshwa huko Syria

Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova:

The Israeli strikes against Syria are a flagrant violation of the country's sovereignty and international law.

The Russian Federation strongly condemns Israel's provocative and violent actions against Syria, which are fraught with dangerous consequences, she stressed.

t.me/ukraine_watch

View attachment 2949131View attachment 2949132View attachment 2949135
Watu wanasema wewe ni muongo na mnafki kuhusu hizi habar unazopost sasa kuwaprove wewe sio muongo wekaga na link....ili watu waone unakotoa hizi habari zako[emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣 Naona umekuja kivingine mi nawewe nani mfia dini.......pole sana ..tulia dawa iingie
 
Mtifuano unaendelea huko Mashariki ya kati baada Russia kupeleka meli za kivita huko Red sea na Russia kuanza Kushambulia magaidi wa ISIS [IS Israel] huko Golan. Biden akatangaza kuipatia Israel ndege za F35 na Silaha zingine hapo kitaalamu ni Ligi ya Russia na Israel inaanza...wakati huo huo Helicopter tatu za Marekani zimedondoshwa huko Syria

Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova:

The Israeli strikes against Syria are a flagrant violation of the country's sovereignty and international law.

The Russian Federation strongly condemns Israel's provocative and violent actions against Syria, which are fraught with dangerous consequences, she stressed.

t.me/ukraine_watch

View attachment 2949131View attachment 2949132View attachment 2949135
Ndege hatari kama hii inapelekwa kupambana na watu wanaotumia AK47 RPG
 
Back
Top Bottom