Urusi yalaani shambulio la Israel huko Syria

Urusi yalaani shambulio la Israel huko Syria

Zile S400 SAM kule Syria zimeshindwa kuipa Syria water tight air defence?maana F 15s zinatalii juu ya anga ya Syria!
 
Ivi kweli kwa akili yako S 400 unafananisha na hizo takataka F 15 omba radhi
Allepo ,imeshambuliwa juzi au taarifa hii wewe huna?,after all why Nina vita yangu hapa mpaka wangu wa kusini,ya huko middle east huu sio muda wake kwangu
 
Ndege hatari kama hii inapelekwa kupambana na watu wanaotumia AK47 RPG
Mkuu hizo ndege zimepelekwa kimkakati kumbuka Kuna Iran ambayo imeanza kununua ndege za SU 35 za Russia na makombora yake wakati huo huo Urussi imeshatangaza kuisadia Palestina na Syria na Sasa Mrusi yupo Milima ya Golan inayoshikiliwa na Israel
 

Attachments

  • Screenshot_20240331-114238~2.png
    Screenshot_20240331-114238~2.png
    417.2 KB · Views: 1
Allepo ,imeshambuliwa juzi au taarifa hii wewe huna?,after all why Nina vita yangu hapa mpaka wangu wa kusini,ya huko middle east huu sio muda wake kwangu
S 400 zipo Syria na Zina endeshwa na warusi wenyewe kumbuka Syria ni Nchi huru inalindwa na Sheria za kimataifa Israel anachofanya ni Ugaidi kuivamia na kukimbia kama swala. Mrusi hajapewa task ya kufunga Anga la Syria..
 
Upo katika kitengo cha Logistics Na Transportation Katika Jeshi La Urusi Au Ni Mahaba Na Uhuru Wa Kikatiba Mkuu?.
Kwan ule msafari wa kilometer 80 vifaru na magari ya kivita ilikuwaje....msafara uliishiwa mafuta
 
Back
Top Bottom